Recent content by Mpira wa kona

  1. M

    JamiiForums Tanzania Sio kweli kwamba CCM inategemea dola na NEC ili ishinde

    Huna aibu unataka ukweli gani mikutano ya hadhara mnazuia mnaogopa nini?Mawakala wanatolewa maded wanapika matokeo NEC inaleta majina mpaka ya marehemu
  2. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Timotheo Paul kiongozi wa BAVICHA kata ya Kimwani Muleba, afariki dunia

    Poleni sana Mungu ampe pumziko la milele
  3. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ni lazima sii hiyari, tudai vyote

    Nyarukururu umerukia mada MKUU soma thread vizuri
  4. M

    JamiiForums Tanzania Maajabu Muleba, Walidharauliwa ila bado wamechagua tena CCM

    Wameibiwa kura zao hawakuipigia ccm
  5. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ni lazima sii hiyari, tudai vyote

    Nadhani wapinzani mmevuna mlichopanda katika uchaguzi wa juzi.Kama viongozi wafuatao ni makada wa CCM Na ndio wanasimamia chaguzi zote Wapinzani mnategemea kushinda kweli? Mkuu wa mkoa Mkuu wa wilaya Ras Ded Das Mnachotakiwa kufanya ni kushughulikia mabadiliko ya Katiba ili utitiri wa hao makada...
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio sababu kuu ya kushinda CCM na kushindwa kwa upinzani nchini

    Ili ccm ishinde no lazima maiti pia zipige kura
  7. M

    JamiiForums Tanzania Hivi ni dawa gani CCM wanayoitumia inapigiwa kura kwa wingi?

    Wizi wa kura
  8. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Tumewachapa wapinzani uchaguzi mdogo, wananchi bado wana imani na CCM

    Mikutano mmezuia, Tume ya uchaguzi ya ccm Wakurugenzi wa uchaguzi makada wa ccm kwanini CCM ishindwe?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Katiba Mpya na Tume Huru ya Uchaguzi ni lazima sii hiyari, tudai vyote

    Gambia tatizo halikuwa Katiba Bali mtu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Hii ndio ilikua sababu ya mikutano ya siasa kupingwa "STOP"

    Kifaurongo simliiba kura hizo?
  11. M

    JamiiForums Tanzania CCM wana addiction ya Lowassa

    Kweli kabisa MKUU nimemsikia Bulembo licha ya kupata ubunge viti maalumu Kwa kuwa anatafuta uwaziri ameanza kumtukana Kamanda Lowassa.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nafasi kumi za wabunge wa kuteuliwa na hesabu kali za kuwapata

    Suala ni uvunjwaji wa katiba Rais ana washauri kwanini wasiwajibike?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Bulembo amtaka Lowassa aache kung’ang’ania siasa

    Bulembo Bulembo achana Na Mh.Lowassa sio type yako MKUU wewe nani mpaka umwambie?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe una option 2: Kujiuzulu au kuwatimua Lowassa na Sumaye ili chama kirudi kwa wananchi

    Makada wa ccm mnahangaika sana Na mbowe kwanza tunapata picha kuwa kumbe uwepo wa Mbowe Lowassa Na Sumaye kunawapa HOFU Kwa hiyo Mbowe Hajiuzulu, Lowassa Na Sumaye hawaondoki NG'OOO
Back
Top Bottom