technically
JF-Expert Member
- Jul 3, 2016
- 12,485
- 50,898
Muda Wa kubembelezana umekwisha CCM si chama cha kubembeleza tenda
Wanaoendelea kuichagua CCM ni wajinga wachache sana na mbinu chafu zinatumika kuwahonga mawakala wa upinzani na kuweka kura bandia kwenye masanduku ya kupigia kura kabla ya zoezi la kupiga kura kuanza........
Jambo la kufanya hapa sio tu kupiga kura eti kuwaachia mawakara na kuondoka no....
Jambo la kufanya unapopiga kura kaa kituoni mpaka matokeo yatangazwe hakuna polisi anayeweza kukupiga Risasi kwa kukaa kituoni bila fujo hakuna polisi 20 eti wanaweza kushindana na watu zaidi ya 200 kituoni .
Police nao ni waoga tu kama walivyo watanzania wengine kwa sababu wao sio waganda.....
Option iliyobaki kwa kuwa kuna tume mbovu ni kulinda matokeo kituoni kwa garama yeyote ....
Option ya pili ni kuwatosa makapi wote Wa CCM maana wengi ni mamluki wametumwa kuja kuua upinzani.......
Wapinzani lazima muelewe mtanzania wa kawaida kabisa hawezi kuingia barabarani kumpigania Lowassa au Sumaye kwa kutumia nguvu ya umma......
Lazima tuwe wa kweli mtu ambaye anaweza jitokeza hatharani ndani ya mkutano Wa hathara kuomba watu waipigie kula CCM wakati yupo chadema tena zaidi ya Mara moja maana Yake nini?..
Lazima mkae mjue kuwa CCM haitaondoka madarakani kwa kubembelezana na kuendelea kuwa na makapi kutoka CCM........
CCM wapo tayari hata kufanya jambo lolote la hatari ili waendelee kukaa madarakani.......
Wapinzani na watanzania tuchukue hatua Ondoa mamluki ndani ya Upinzani then hamasisha nguvu ya umma Police ,Jeshi hawawezi kupambana na nguvu ya umma hata watu million 1 tu tukiamua kulinda matokeo nchi nzima 2020 inawezekana.........
Option ni mbili mbowe kujiuzulu, au kuwatimua mamluki wakina Lowassa na Sumaye kwenye chama ili chama kirudi kwa wananchi........