MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Angalia mlolongo wa viongozi hawa makada wa CCM katika eneo moja.
1.Mkuu wa mkoa
2.Mkuu wa wilaya
3.Mkurugenzi wa halmashauri
4.Katibu tawala
5.Mwenyekiti wa CCM Mkoa
6.katibu CCM mkoani
7.Karibu CCM wilaya
8.Mwenyekiti CCM wilaya
9.Viongozi wa CCM vijiji na kata
Hawa wote wanakutana pamoja na kufanya vikao kuhakikisha chama hakianguki.
Hawa wote wana kazi moja tu nje na kusimamia ilani ya Chama, kazi hiyo ni kuhakikisha kua CCM inashinda kwa vyovyote vile, hawa ndio wanaotoa maagizo kwa polisi kuwakamata wapinzani.Hatuhitaji kua na elimu ya juu kulifahamu hili kua upinzani uko katika maumivu ya wakati mgumu mno kushika dola.Kama chain mzima ya viongozi hawa haitadhibitiwa upinzani kutawala ni ndoto hata iweje!