Hii BRN yenyewe haijapangiwa fungu, hivo basi kuna mambo mengine yanahitaji fungu la fedha lakini inashindikana, mitihani iliyoandaliwa mwaka jana kama utekelezaji wa BRN haikuwa na ubora, ilikuwa na mapungufu kibao, mfano hesabu za kirumi kwa drs la tano wanatakiwa kujua mpaka mia moja [c]...