Tcra sikieni hili.

MPINGE

Member
Apr 20, 2013
43
4
Tcra mmekuwa mkiendesha vipindi katika vituo mbalimbali vya habari juu ya ujio mpya wa teknolojia na kuwasihi wananchi ya kuwa wana haki ya kupata habari kwa mujibu wa katiba ya tanzania, ninachoshangaa ni kwamba makampuni yatakayokuwa yanarusha vipindi ndani ya nchi wanatakiwa kupata taarifa bure kwa vituo vya tv vya ndani bure. Kilichonisukuma niandike hii thread ni kwamba kuna baadhi ya makampuni kama ZUKU hawana channel za bure kwa hiyo mwananchi asipolipia huo mwezi hawezi pata huduma, tcra muwashinikize ZUKU watoe channel za bure kama star times ambao wana channel za bure.
 
Back
Top Bottom