Recent content by mpimamstaafu

  1. mpimamstaafu

    JamiiForums Tanzania Balozi wa Tanzania Marekani Wilson Masilingi atembelea Ofisi za NEC Dodoma na kuipongeza kuendesha vizuri Uchaguzi Mkuu wa 2020

    Uchaguzi Bora kabisa Duniani kupata kutokea kuingia kwenye Rekodi
  2. mpimamstaafu

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atengua uteuzi wa Mkurugenzi wa Manispaa ya Kinondoni

    Damu ya AKWILINA itamlilia Yeye na Kizazi Chake
  3. mpimamstaafu

    JamiiForums Tanzania Mbunge kusimama Bungeni kutaka Rais aongezwe muda wa kukaa madarakani. Je, Umewasiliana na waliokutuma uwawakilishe hapo Bungeni au ni mawazo yako?

    Mawazo yake kwa faida yake ila katumwa ila sio na Wapiga kura wake
  4. mpimamstaafu

    JamiiForums Tanzania Waziri Lukuvi asimamisha ujenzi Coco Beach, avunja uzio. Sasa kutembelea fukwe ni bure

    Pamoja na Kuvunja na kukemea Je Watendaji wako wa Ardhi umewachukulia HATUA gani au ndio KULINDANA licha ya Kufanya Makosa ya Makusudi?
  5. mpimamstaafu

    JamiiForums Tanzania Huu ni Unafiki wa kisiasa, Mwenyekiti wa CCM hukuona kuwa Mbunge wa Morogoro hafai?

    Wanasiasa wa Tanzania hasa wa hiki Chama ni Wanafiki sana
  6. mpimamstaafu

    JamiiForums Tanzania Mdee na wenzake wanayo kesi ya kujibu, isifanyike mizengwe haki ikapindishwa

    Kama ni WABUNGE Wasio na CHAMA basi Hata hiyo KESI WATASHINDA Kwa USHINDI Kama WA CCM
  7. mpimamstaafu

    JamiiForums Tanzania Tuweke siasa pembeni, lugha ya Kiingereza bado ni muhimu sana kwa ulimwengu wa sasa

    Sio kwa Tanzania mkuu Kiswahili kwanza
  8. mpimamstaafu

    JamiiForums Tanzania Kaliua Saga: Vita ya Madaraka na uhuni wa wahuni

    Mnakoelekea ni KUROGANA mnapenda sana Madaraka.
  9. mpimamstaafu

    JamiiForums Tanzania Sasa Kiingereza kitakuwa na kazi gani?

    KUTONGOZEA
  10. mpimamstaafu

    JamiiForums Tanzania Je, Rostam Aziz ataitikia wito wa kugombea Ubunge Morogoro Mjini?

    Alishasema hataki SIASA UCHWARA za CCM
  11. mpimamstaafu

    JamiiForums Tanzania Marehemu Mbunge wa Muhambwe(Kigoma), Atashasta Nditiye alipata ajali lini na wapi?

    Hata wale COVID -19 Walikuwa Hawajui?
  12. mpimamstaafu

    JamiiForums Tanzania David Kasesela kinara wa biashara ya kusafirisha Wahamiaji haramu akamatwa jijini Mwanza

    Akifa ndugu yake ndio atajua kuwa ni Corona au Ajali Asikose kutusimulia
  13. mpimamstaafu

    JamiiForums Tanzania Baada ya Mbunge wa Muhambwe kufariki. Je, CHADEMA washiriki Uchaguzi Mdogo wa Jimbo hilo au wapotezee?

    Tume ni ile ile hakuna haja ya kupoteza Muda na Watu kuuliwa au kukamatwa
Back
Top Bottom