Recent content by Mpilipili

  1. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya Nyumba ya Wageni (Guest House) imekaaje?

    Ipo Dar es Salaam, Kibamba
  2. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Biashara ya Nyumba ya Wageni (Guest House) imekaaje?

    Habari wana jamii forum Nina lodge yangu sass nataka kufanya biashara na watalii. Nimeshauriwa kufanya marketing sasa sijui pa kuanzia, idea ya ku link hasa huko wanakotokea kama mfano kujua mawakala wao nakadhalika. Naomba msaada kwenye mwenye idea ama kujua biashara hii ya utalii. Asante
  3. M

    JamiiForums Tanzania Jina la biashara

    Wanandugu habarini za asubuhi. Ninataka kuanzisha kabiahara na nimeshauriwa nianze kama kampuni. Hivyobasi, najua humu kwenye jamvi hakikosekani kitu. NAOMBA MWENYE KUJUA JINA ZURI LITAKALOENDANA NA BIASHARA YANGU. Biashara ya (general traders, pharmacy, accommodation, conference and transport)
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimempenda House Girl Wangu

    Wanajamvi nashukuru kwa comment zenu mchanganyiko. Kwa muhutasari nimefarijika na kupata jibu muafaka. Njia pekee ya kuwa salama ni kuacha mahusiano nje ya ndoa, mbinu rahisi ni kuacha fikra na mawazo ya kutamani tamani. Pili, ni kuacha kuanzisha mahusiano mapya. Inawezekana kabisa kati yetu...
  5. M

    JamiiForums Tanzania Natembea na mke wa mjeshi

    Wana Jamvi ninasueni, Mke wa Mjeshi amenizima ghafla nikashawishika tukavunja amri ya sita. Sasa mazoea yamekuwa kawaida, hivi majuzi alinitamkia kuwa anataka azae na mimi. Sasa wanandugu Mjeshi akijua mali yake inaibiwa atanipiga Risasi. Nisaidieni nitauawa.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Nimempenda House Girl Wangu

    Tulienda kupima VVU. Dunia ya sasa mwenzangu, usalama wake na wangu ulikuwa tunu muhimu kwa tendo tulilodhamiria
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nimempenda House Girl Wangu

    Nina watoto wawili, miaka 12 kwa 9. Mke wangu anasoma UK
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nimempenda House Girl Wangu

    Ndugu zangu nisaidieni, natambua ukubwa na uzito wa kusa nililolifanya
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nimempenda House Girl Wangu

    Nisaidieni wana jamvi kabla mambo hayaja haribika. Plan yangu nataka nimrudishe kwao lkn hofu yangu ni kwamba anaweza ku-react ukawa uhasama na pengine hata kumwambia mke wangu. Dhamira yangu ni kuachana nae kabisa hata kwa compansation ili kulinda heshima ya ndoa yangu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nimempenda House Girl Wangu

    Nishaurini jinsi ya kurudi na kubaki njia kuu
  11. M

    JamiiForums Tanzania Nimempenda House Girl Wangu

    Nimeshindwa kuachana nae. Kila nikisema naacha, kisha natamani tena
  12. M

    JamiiForums Tanzania Nimempenda House Girl Wangu

    Wana Jamvi, nimempenda house Girl Wangu. Tumeishi nae miaka mitano sasa na amekuwa mrembo sana. Kila kazi anafanya. Mke wangu ameenda kusoma huku nyumbani nikazidiwa, tukaenda kupima wote tuko salam Nifanyeje wana Jamvi nimeshindwa kutoka na hivi mke wangu akirudi itakuwa balaa. Nisaidieni.
  13. M

    JamiiForums Tanzania CHADEMA: Hatukuridhishwa na uamuzi wa mahakama - Yapanga kumpinga Zitto Mahakama ya Rufaa

    Wana Jamvi, Nikumbusheni, kesi ya msingi ya MM aliyotaka isikilizwe kwanza na ndipo akaweka pingamizi kwa CDM ni ipi?
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mke

    Mimi ni mwanaume mwenye miaka 35. Natokea Moshi. Nimeajiriwa na pia ni Mjasiriamali. Nitafuta mke wa kuoa mwenye sifa zifuatazo. 1. Mtanzania 2. Umri miaka kati ya 25 hadi 30 3. Elimu, chuo kikuu 4. Awe na afya nzuri na awe tayari for medical check up Mwenye sifa hizi, awasiliane nami.
  15. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta mwanaume ambae ataniamini.

    Mimi nipo tayari lakini baada ya kupata professional clearance katika yafuatayo> elimu yako umri kazi yako
Back
Top Bottom