Recent content by mpigazeze

  1. M

    Maoni: Bingwa wa ligi kuu acheze Shirikisho na bingwa wa Azam Cup acheze Champions League

    Unachangamoto ya afya ya akili mwone daktari mapema
  2. M

    Feisal penalty/fidia ya kutokutumikia mkataba inamsubiria

    Mkataba huvunjwa na pande mbili za mkataba Tff sio miongoni mwao.pili hill shauri lilikwisha sikilizwa na uamuzi ukatolewa.high of Fei na wanasheria wake wa kuokoteza walitakiwa kurudi Yanga kupata muafaka au kwenda CA's.Yanga imetumia busara ambayo fei na mawakili wake hawana Kwa mujibu wa...
  3. M

    Maajabu ya Klabu ya Simba

    Simba ndio club ya kwanza kuingiza timu kipindi cha kwanza na kuishia mitini kipindi cha pili kwenye deby ya kariakoo
  4. M

    Mama J, shabiki wa Yanga

    Hii sio haki mama j kawa maarufu kuliko mwanaume ambae mic yake dunia nzima tumeiona
  5. M

    Naomba kufahamu kuhusu Nyoka Longo, gwiji la muziki kutoka DRC

    Nyoka longo mbona amefariki miaka mingi iliyopita
  6. M

    Babu Tale: Naweka V8 ya mwaka 2020, Mwakinyo apigane na Kiduku

    Nimempenda mwakinyo na mgt yake yeye ni professional boxers sio bondia wa mtaani. Atakuja kupatapambano moja tu na kutoboa.babutale asilete mambo ya mtaani
  7. M

    Simba SC ni matumaini yangu mmejiandaa vilivyo kuhusu Sakata la Yanga SC na Mchezaji Morisson kwani naona limekaa vibaya Kwetu huko CAS

    Mimi sio mwanasheria kesi ikisikilizwa kwa maandishi parties hawaendi mahakamani hivyo hiyo kesi haiwezi kuwa kwenye cause list. Nina uzoefu wa mahakamani miaka 20. Kwa hiyo ktk kupeleka hoja kimaandishi parties wanapewa timeline lini wapeleke hoja zao na mwisho hukumu itatolewa, manunu fc...
  8. M

    Suala la Yanga kutotaka kucheza tarehe 3 julai ni dharau kwa TFF, serikali na wapenzi wa soka

    Unajua kwanini rais wa TFF alikuwa mbogo hivi karibuni na kuonyesha kuwa nafasi alikuwa nayo haiwezi. Shirikisho limejaa utelembwe manunu fc symphasizer. Maamuzi yao ni kuumiza timu fulani. Oo yanga wanaiongopa simba mbona mnahangaika kuwafunga gwambina?sema sababu ya kuahirisha one of the best...
  9. M

    July 3; Yanga mcheze na sisi ila point wapewe Yanga

    Maneno mengi bila hoja tunataka sababu ya kuhairisha mechi wakati mashabiki wapo uwanjani. Simba ndio uliogopa kuleta timu baada ya mganga wenu kuwambia mtafungwa. Mkaenda kwa kiongozi wa serekali ambaye ni shabiki wenu akatoa amri mechi ihairishwe.Na simba ilikuwa jua mechi haitachezwa yanga...
  10. M

    Mke wangu amekubali nimuadhibu viboko vitano ili yaishe

    Mchape Finborough tano mbele na nyuma
  11. M

    Nimepata mtoto wa kiume. Je, nimuite John Pombe Magufuli?

    Mwite njomba nchumali aka harmo aka dushe
  12. M

    CAF yataja Vilabu Bora 30 Afrika Simba SC yapanda hadi nafasi ya 13, ila Yanga SC hata katika Vilabu 200 Bora Afrika pia haimo

    Hiyo orodha ni ya wapuuzi nimeona timu ndogo za Zambia na Zimbabwe hata kombe la shirikisho hazishiriki zipo juu ya yanga video lazima viwe wazi
  13. M

    CAF yataja Vilabu Bora 30 Afrika Simba SC yapanda hadi nafasi ya 13, ila Yanga SC hata katika Vilabu 200 Bora Afrika pia haimo

    Kwa taarifa yako man u na arsenal wapo rank za juu uefa licha ya kutocheza champions league
  14. M

    Chamazi itakuwa ya kisasa

    Azam ni simba b ndio maana mkaelekezwa ifungeni yanga
  15. M

    Msaada lodge nzuri Morogoro

    Nenda tax palace ths 45000 na pembeni kuna pub ya kisasa hakuna short time clean very good. Acha ubshili kiongozi
Back
Top Bottom