Naomba kufahamu kuhusu Nyoka Longo, gwiji la muziki kutoka DRC

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,696
218,214
FB_IMG_1629239333468.jpg

Huyu jamaa ni Kiongozi wa miaka mingi sana wa bendi ya Zaiko langalanga Nkolomboka (chuo cha wanamuziki wa congo), hii ni kwa sababu almost 95% ya wanamuziki wote wenye mafanikio nchini Congo wamepitia kwenye bendi hii.

Je, Mtu huyu ni nani na amewezaje kudumu kwenye game bila kutetereka kwa miaka yote hiyo?

Nakala : Lukas Mobutu
 
Mkuu watu bado wanakushangaa kuwa ni wewe kweli au mwingine tulitegemea Uzi uwe wa chadema , hlo ni moja la pili wako busy na amapiano , miziki ya lingala tuwaite akina Mshana Jr
 
Ukiacha Chadema , mimi pia ni mpenzi wa muziki wa Rhumba kama walivyo matajiri wenzangu akina Joka Kabengele na wengineo
 
Simjui vizuri huyo mtu lakini lakini naifahamu hiyo bendi na baadhi ya vibao vyake kama 'dede', 'zekira' na 'mukaji' vinanisumbua hadi leo. Ile album yao ya nkolo mboka vol.1 ilisumbua tana familia yetu
 
hongera kwa kusumbuka
 
Tatzo hata ukigoogle wasanii wa zaire ile ni ngumu mno kupata updates zao.

Hata mimi huwa nina kiu sana ya kujua taarifa za akina shimita
sijui wapo wapi wanafanya nn.
na hivi french sijui ndo bas tena,

Presumably, kundi la zaiko litakuwa limesambaratika na halipo.

Hata yupo nyoka longo & co watakuwa wamezeeka sana.
 
View attachment 1896325

Huyu jamaa ni Kiongozi wa miaka mingi sana wa bendi ya Zaiko langalanga Nkolomboka (chuo cha wanamuziki wa congo), hii ni kwa sababu almost 95% ya wanamuziki wote wenye mafanikio nchini Congo wamepitia kwenye bendi hii.

Je, Mtu huyu ni nani na amewezaje kudumu kwenye game bila kutetereka kwa miaka yote hiyo?

Nakala : Lukas Mobutu
Alimeza chatu mzima bila kumpaka chimvi wala kumpika, ndiye msaidizi wake
 
Tatzo hata ukigoogle wasanii wa zaire ile ni ngumu mno kupata updates zao.

Hata mimi huwa nina kiu sana ya kujua taarifa za akina shimita
sijui wapo wapi wanafanya nn.
na hivi french sijui ndo bas tena,

Presumably, kundi la zaiko litakuwa limesambaratika na halipo.

Hata yupo nyoka longo & co watakuwa wamezeeka sana.
Zaiko Langalanga bado ipo na inapiga kazi Kama kawa.

Nami nataka kujua watu kama Dali kimoko, Mohamed Kassiancy, Tutu Calugi ( hasa huyu), na wengine naendelea kuwakumbuka
 
Tatzo hata ukigoogle wasanii wa zaire ile ni ngumu mno kupata updates zao.

Hata mimi huwa nina kiu sana ya kujua taarifa za akina shimita
sijui wapo wapi wanafanya nn.
na hivi french sijui ndo bas tena,

Presumably, kundi la zaiko litakuwa limesambaratika na halipo.

Hata yupo nyoka longo & co watakuwa wamezeeka sana.

Shimita yupo ni mmoja wa wasanii wa Congo wakiweka makazi USA kama Ngouma Lokito, Lokassa ya $, Lucien Bokilo, Diblo Dibala etc.

Zaiko Langa Langa bado lipo sema kuna damu nyingi mpya, wakongwe ni kama Nyoka Longo, Doudou Adoula.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom