Recent content by MpiganiaUhuru

  1. MpiganiaUhuru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya nje ya nchi wazidi kuvunja rekodi ya utumaji wa hela nyumbani

    Hongera sana! But, if there's a bit of truth in it!
  2. MpiganiaUhuru

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wakenya nje ya nchi wazidi kuvunja rekodi ya utumaji wa hela nyumbani

    PATRIOTISM! Mungu anisamehe, ila JKN alifanya mambo makubwa sana hapa nchini, sina haja ya kuelezea juu ya mchakato husika, yes, hata kujiita Wa-Tz ni kwa sbb yake but, lipo jambo hapa linalohitaji udadavuzi! Nalo ni (question-wise): Ni kwa nini ni vigumu sana kwa Mtanzania kujivunia u-Tanzania...
  3. MpiganiaUhuru

    JamiiForums Tanzania Wanaume mnajisahau kwenye suala la majukumu ya nyumba

    50% by 50% Lady! Aren't you happy for that? What's ur prblm then?!!
  4. MpiganiaUhuru

    JamiiForums Tanzania Msaada: Typhoid inanitesa sana...

    Tatizo hilo laweza kuwa ni hili lililogunduliwa cku za karibuni, linahusu BACTERIA ila sio wale wa Typhoid but ni bacteria walio mwilini mwako kwa kazi maalum ya uyeyushaji wa chakula (Flora). Imegundulika kuwa bacteria hawa muhimu na wasio na madhara waweza geuka na kuwa wabaya pale panapotokea...
  5. MpiganiaUhuru

    JamiiForums Tanzania Wasomi, Maprofesa, Madaktari na wanazuoni, ni hatari kwa nchi

    Oh my goodness! Hivi unajua maana ya SURVIVAL? Au HUMANITARIAN needs? Kama tumeshabanwa mbavu kiasi cha survivability yetu na familia zetu kutikiswa unataka tufanyeje? Tukimbie nchi kama kina Kambona? Halafu twende wapi, kwa Trump?!!!! No way, ngoja tuendelee kuchumia matumbo tu maana hakuna...
  6. MpiganiaUhuru

    JamiiForums Tanzania Usimchukulie poa Dangote. Mengi, Bakhressa ni vitone tu

    Dah! Mbona nimeogopa ghafla!
  7. MpiganiaUhuru

    JamiiForums Tanzania Wakuu naomba niwaage humu Jf nimepashindwa kwa kweli

    Mh! Ni kama vile kuna kitu unakihisi humu ila huwezi kufunguka! Ok, tell us something, unadhani wanaokuhujumu au kutokutendea haki ni MODS au MEMBERS wenzio? Kama unadhani ni MODS it's fine ila kama unadhani ni MEMBERS wenzio, basi wewe ndio utakuwa kwenye wrong way! Maana members wa humu ni...
  8. MpiganiaUhuru

    JamiiForums Tanzania Usimchukulie poa Dangote. Mengi, Bakhressa ni vitone tu

    Mh! Kwani wakati ule serikali ilipomuwekea vikwazo kupitia kwa wasaidizi wake na uzalishaji wa cement kusitishwa si alikuja na taarifa zilizopo ni kuwa aliongea na MKULU na wakafikia muafaka?!!! Yes ofcourse, baada ya hapo nakumbuka kuwa production iliendelea. What's going on now?! Kwa nini...
  9. MpiganiaUhuru

    JamiiForums Tanzania IGP Sirro: Tumepanga mpango mkakati wa kuwashughulikia vizuri sana wale ambao wanakwepa kulipa kodi

    Sirro & Mabeyo, kaeni kwenye nafasi zenu za kiutendaji tafadhali! Let Politicians do the same!
  10. MpiganiaUhuru

    JamiiForums Tanzania Calculations: Kibarua muosha magari anapata fedha nyingi zaidi kuliko hata Engineer wa Serikali

    Kwa hiyo sisi tulioajiriwa na Govt tuache kazi tukaoshe magari? Acha uchochezi! Kwanza sisi tunaitwa 'Watumishi" sio "Wafanyakazi" hivyo tunakula kwa urefu wa kamba ya "kutumikia".
  11. MpiganiaUhuru

    JamiiForums Tanzania Mke napiga goli moja, mchepuko mpya goli 3-4 kwanini?

    Mazoea, kuzoeana, mi sitaki mazoea kuzoeana....Bilnas Bilnas!
  12. MpiganiaUhuru

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine tena, leo nimethibitisha puli ni mchezo hatari sana duniani

    Kwa kuongezea, naomba ufanye utafiti wa kimya kimya kwenye ukoo wako, pande zote 2 (baba na mama) halafu utuambie kama hakujawahi kutokea mwenye shida ka ya kwako. Vinginevyo utuambie kuwa hata hao wasio na uwezo au uwezo mdogo wa kupata watoto (low fertility) wamesababishiwa na "puli', acheni...
  13. MpiganiaUhuru

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine tena, leo nimethibitisha puli ni mchezo hatari sana duniani

    Nipende kuchukua fursa hii pia kuwaasa Vijana wa Kibongo kuwa tuwe na tabia ya kusoma! Cku hz wala huhitaji vitabu kama enzi zetu, ni suala la ku-google tu halafu "uterial" unamwagika unapata maarifa, haya angali utafiti huu kwa kina halafu fanya majumuisho useme "puli" ina mchango gani kwenye...
  14. MpiganiaUhuru

    JamiiForums Tanzania Kwa mara nyingine tena, leo nimethibitisha puli ni mchezo hatari sana duniani

    Ninyi mnaotumia IMANI endeleeni wala siwakatazi, na sisi WANASAYANSI acha tufanye yetu! Over!
Back
Top Bottom