peoplez power haita pitwa na wakati,napendekeza kipind hiki itumike hamia CHADEMA sbb mpaka mwez wa 9 mwaka huu tutashuhudia wengi sana wakihamia chadema.
Nimekusoma mkuu,lakini kwa kipind hiki ningependa waitumie hiyo sabab peoples power ni kauli ambayo itadumu daima.kwa kipind hik cha m4c watumie 'hamia CHADEMA.
Habari wana jf,napendekeza kauli mpya hii waitumie chadema,ninaimani itavuta sana watu kutoka pande zote za nchi.napendekeza chadema watembee nchi nzima kueneza kauli hii mpaka vijijini huku wakifungua matawi kwa fujo ninaamini tutapata wanachama wengi sana.badala ya hamia airtel napendekeza iwe...
Kweli CCM hawana chao mwanza,hadi wameamua kwenda vijijini kusomba watu vijijini toka jana mpaka leo nimeshuhudia malori km 200 na vigari vidogo vidogo kibao,kweli hali ni mbaya sana,nimesikia gunia 100 za mchele zimeletwa na lifuso,na ng'ombe km 70 zitachinjwa. My take kwanini hawa watu...
Duh! Sante sana mkuu, bt je km ur fresh frm chuo na hujapata experiene na field hukuenda je? Kwny cv utaandika kitu gani sasa? Duh kila sehem experience experience wakati ht selikali haikutupa field cjui 2takua wagen wa nani! Au 2anzishe biashara tu? Mungu atusaidie na hii elim fake ya bongo
Nimeckia mda mfupi kutoka radio free kwny kipind cha darubini ya leo kuwa watu walikua km 65 na walookolewa ni km 15,walobak wote wameteketea kwa moto.polen sana wafiwa kwa msiba huu mkubwa,Mungu azilaze roho za marehemu mahala pema peponi amina.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.