Recent content by Mpigadili Tz

  1. Mpigadili Tz

    Mchepuko akatalia kwangu. Nifanyaje wadau?

    Kwahiyo Mkuu Kitanda unacholalia na Mkeo umekifanya Gest
  2. Mpigadili Tz

    Tofauti ya hizi nyumba zenye bati linaloonekana na zile ambazo bati halionekani

    Raha ya Nyumba Bati liomekane Bwana weeee... hata Mtu unamuolekeza NYUMBA YANGU ILEEEE YENYE BATI LA KIJIVU ((utani))
  3. Mpigadili Tz

    Nataka nichukue mkopo dhamana mshahara

    Ndo maana Mimi nakimbiliaga kukopa Tigo tu basi, hakuna heka heka
  4. Mpigadili Tz

    Nifanyeje nileft group bila watu kugundua kuwa nimeleft?

    Kuna moja uzalendo ulinishinda nikauliza HIVI HAKUNA MENGINE KILA SIKU MARA MIHOGO YA SHULE ILIKUA MITAMU mara FULANI SHULE ALIKUA MTORI SANA.... nikawambia MBONA YASHAPITAGA HAYO!!?
  5. Mpigadili Tz

    Unamkumbuka your truly lovely EX kwa lipi? Nini hutosau kamwe pindi umuonapo au kukutana naye?

    Nakumbuka kauli yake ya mwisho KATIKA MAISHA YAKO USIMUAMINI MTU YOYOTE.... kesho yake akanilima Block
  6. Mpigadili Tz

    Zamani ukisema fulani yupo 'Chuo' watu waliogopa,siku hizi

    Nakumbuka ilikua hata Mtu Mtaani akipiga One anaonekana Mtu hatari ila siku siku kama kafa Paka tu
  7. Mpigadili Tz

    Naomba ushauri: Nimegundua mke wangu ana mahusiano na jamaa ninayefahamiana naye

    Mkeo wakati anatongozwa alikua hajui kama ni Mke wa Mtu?
  8. Mpigadili Tz

    Mimi ni Mkristu ila nimeamua kukiri kwa ridhaa yangu kua Uislamu ndio dini ya haki ya mwenyezi Mungu

    Muislam ni Mtu ana madhaifu yake anaweza kuua Mtu bila sababu, je uislam unataka Mtu aue?... Muislam anadanganya, je uislam unataka Mtu adanganye.... Soma Uislam usimsome Muislam
  9. Mpigadili Tz

    Wauza maduka tupe kisa cha kulizwa na mteja baada ya kumwamini!

    Na kunakua na mawili uombe utamu upewe mumalizane au utake Hela yako na hutopata
  10. Mpigadili Tz

    Unadhani ni kwanini wanawake wengi hawapendi kutumia kinga?

    Angesubiri hata kuchamke kidogo basi
  11. Mpigadili Tz

    Taarifa gani umewahi kusikia kuhusu Saratani ikakupa shaka?

    Kua Saratani inahama, ukiwa nayo hiyo unayo tu... ikiwa Mkono wa kulia wakikata inahamia Mkono wa kushoto..... wakikata inahamia Kidole cha Mguuni hadi unahama Duniani unahamia Kaburini
Back
Top Bottom