Recent content by mpiga deki

  1. mpiga deki

    JamiiForums Tanzania Nifanyeje mat'ako' yasitingishike nitembeapo?

    Buji hana aibu mwanaume kama binti!
  2. mpiga deki

    JamiiForums Tanzania Tundu lissu atikisa bungeni,atoa kauli "waliozoea vya haramu vya kuchinja hawawezi.

    Kauli hyo haina pingamizi ila wenye pingamizi hao walioipinga.....
  3. mpiga deki

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Basi la Mohammed Trans lapinduka, wawili wafariki

    Mohamed trans yanaua mpk singida kuna makaburi ya mohamed
  4. mpiga deki

    JamiiForums Tanzania Ridhiwani apotezwa Chalinze

    Huyo mtt wa mfalme kikwete hafai hata kuongoza vichaa, maana kaanza ufisadi toka utoto. Halafu hii nchi ya kifalme
  5. mpiga deki

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Acha kujidanganya mwana mpotevu mmeshazoea kabati lenu kukaa bila vkombe,epl ya man City,Liverpool,chels na fa ya wigan na fa ipo fainal
  6. mpiga deki

    JamiiForums Tanzania Jaji Warioba amshushua Prof. Shivji kuwa si mkweli, Ni Mpotoshaji!

    Hao wote hakuna mkweli, ila tanganyika itajengwa na watanganyika na zanzibar itajengwa na wazanzibar.kinachofanyika ni maigizo ila baadhi ya Mafisi mifupa washajua katiba ikoje,tuwe makini lasivyo tutafunikwa
Back
Top Bottom