Ninauza nyumba yangu binafsi, ipo jijini Mwanza eneo la Luchelele si mbali na ziwani. Inavyumba 3, viwili vikiwa ni self, sitting room, kitchen na public toilet. Imejengwa kwa mpangilio wa ramani ya mtaa. Nitabandika picha yake.
Kwa aliye interested tuwasiliane kupitia 0715887777 au 0762123133...