Mpevu
JF-Expert Member
- Nov 23, 2010
- 1,803
- 179
Ninauza nyumba yangu binafsi, ipo jijini Mwanza eneo la Luchelele si mbali na ziwani. Inavyumba 3, viwili vikiwa ni self, sitting room, kitchen na public toilet. Imejengwa kwa mpangilio wa ramani ya mtaa. Nitabandika picha yake.
Kwa aliye interested tuwasiliane kupitia 0715887777 au 0762123133 au 0682777778. Bei ni 35m, serious buyers tuwasiliane.
Ahsanteni na karibuni.
Kwa aliye interested tuwasiliane kupitia 0715887777 au 0762123133 au 0682777778. Bei ni 35m, serious buyers tuwasiliane.
Ahsanteni na karibuni.