Recent content by mperembi

  1. mperembi

    JamiiForums Tanzania Godbless Lema ahudhuria mazishi ya Mbwa wa Nassari

    Uzwazwa
  2. mperembi

    JamiiForums Tanzania Ni makusudi ya TANESCO kumdhalilisha Rais, Kulikoni??

    Ishu ya umeme kusini NAyo ni kituko
  3. mperembi

    JamiiForums Tanzania Elizabeth Michael(Lulu) akutwa na hatia ya kuua bila kukusudia, ahukumiwa kwenda jela miaka 2

    Aende high court of appeal ataachiwa
  4. mperembi

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri wa kina wa kiafya zaidi juu ya uvutaji bangi

    Ina addiction na ikikukataa unadata.pia moshi wake unamadhara kwa kifua..ni adui mkubwa wa social interactions
  5. mperembi

    JamiiForums Tanzania ITV mmekuwa zilipendwa. Azam imewapiga bao la kisigino

    Kwa ufupi ni kwamba azam TV wamekuja kusambaratisha media za bongo na nchi jirani.siri yao ni uwekezaji mkubwa wa mtaji na kufahamu mahitaji ya mfuatiliaji wa media...
  6. mperembi

    JamiiForums Tanzania Ndoa ya Irene Uwoya, Marufuku kuingia na simu Ukumbini

    Janjaro kabugi
  7. mperembi

    JamiiForums Tanzania Ukweli wa alichokisema Sheikh Kipozeo kuhusu Diamond

    Hata kinjekitile ngwale na kina chief mkwawa walikuja kuwakomboa watu wao na kuhubiri amani na upendo
  8. mperembi

    JamiiForums Tanzania Ukanjanja wa mtangazaji wa Clouds FM, Hassan Ngoma

    Ngoma na team ya clouds 360 hawana mvuto...uwezo umegota.uongozi ubadili hiyo team
  9. mperembi

    JamiiForums Tanzania Dhana ya "kumbemenda mtoto"

    Hujanijibu lakini...huo uelewa wako mkubwa sijaona maslahi yake kwa jamvi
  10. mperembi

    JamiiForums Tanzania Dhana ya "kumbemenda mtoto"

    Mbona naskia mama mwenye mtoto mchanga akifanya mapenzi na mwanaume mtoto anadhoofu.pia sindano za uzazi wa mpango hudhuru watoto
  11. mperembi

    JamiiForums Tanzania Dhana ya "kumbemenda mtoto"

    Wanajamvi naomba nijuzwe kitaalam ni nini maana na chanzo cha mtoto kubemendwa.
  12. mperembi

    JamiiForums Tanzania Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

    Hivi huyo ruge si mkristo.INA maana hana ndoa
  13. mperembi

    JamiiForums Tanzania TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Nimemsikia Leo muhandisi wao akidai kuwa chanzo cha kukatika katika umeme Lindi na mtwara ni tatizo LA uchakavu wa mashine...sasa ni kwa nini shirika nyeti kama hili lisinunue machine mpya...wamekuwa walijiendesha kibiashara je mapato ya shirika yanatumikaje. Hebu muwe serious,umeme ni bidhaa...
  14. mperembi

    JamiiForums Tanzania MOROGORO: Polisi aua watu wawili akijihami

    Angeuwawa askari mngechelelea.HOVYO
Back
Top Bottom