Who are you by the way, a monitor, a quality assurance controller or what? if you don't have anything meaningful to contribute to this thread, back offBila kufuata kichwa cha habari na kiini cha mada tunakuwa tunajadili sasa kama vijiweni ,kuwa open forum haimaanishi mada za jukwaa la dini ukachangia kama jukwaa la wakubwa it's open ndio mawazo yoyote yanaheshimika/yataheshimika endapo yatakuwa kwenye mada.
Na unajuaje kama akipata hiyo elimu na akapata na ushahidi juu ya madhara ya bangi itamsaidia kusambaza hiyo elimu kwa hao rafiki zake na watu wengine kwa ujumla na kupelekea wao kuacha.Kuvuta bangi ni kosa la jinai kama kuiba, kukaba na kubaka. Kwa ushauri wangu, si vyema sana kushirikisha watu nia yako ovu ya kutenda kosa la jinai la aina yoyote pamoja na kuvuta bangi.
Relax why all this? Just chill man. Povu lote la nini sasa.Who are you by the way, a monitor, a quality assurance controller or what? if you don't have anything meaningful to contribute to this thread, back off
vp hawa wanaovuta nakupata matatzo yakiakilkisayansi mmea wa bangi hauna madhara kiafya bali unaweza ukatumika kama dawa pia kiburudisho coz effect yake kwa some people inawapeleka higher but remember too much is harmful bro
source google.com/marijuana
Hawa watakua na walikua na mapepo maana bangi na mapepo havichangamani ndo bomu likalipuka hapo, naweza kusema hivyo kwa sababu idadi ya vichaa mitaani na idadi ya wavuta bangi tofauti ni kubwa sana(watu wengi wanatumia huu mmea na wengine ni viongozi wakubwa tu na wanafanya vizuri) sasa kwanini hao tu wawe vichaavp hawa wanaovuta nakupata matatzo yakiakil
nataka nijue kwanza kiafya ipoje ipoje ili nikiaaanza kuvuta nivute kwa aman
cjajua nianzie wapi kukushauri, ila leo test tena, vuta stiki kama tano hivi, kisha njoo katika huu uzi, pitia ushari mmoja baada ya mwingine, ukiweza maliza bila ya kupanic, ganja inakufaa, ila ukishindwa acha..maana jamaa alikuwa anavutia ndani huku huku akicheki documentary ya amazon, kule mvua mwanzo mwisho, kipindi kilipoisha, akatoka nje na mwavuli