Recent content by mperamwitu

  1. mperamwitu

    JamiiForums Tanzania WCB waachia Dude linaloitwa Quarantine

    haswa bora warudishe ule muonekano wa zamani
  2. mperamwitu

    JamiiForums Tanzania Hivi Marekani ni kweli watu wanakufa hivi au tunadanganywa?

    kama ni hivyo hiyo Arusha ni ndogo mno kama buza tu, maaana kuimaliza temeke yote tu inabidi ujipange kisawasawa.
  3. mperamwitu

    JamiiForums Tanzania Nawatakia Ramadhan Kareem!

    mmmmh
  4. mperamwitu

    JamiiForums Tanzania Mwanamuziki nguli wa Cameroon Manu Dibango afariki kwa Corona

    Write your reply...miaka 86 🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄 hii corona mna isingizia aiseeee
  5. mperamwitu

    JamiiForums Tanzania Hiki ni kitu cha ajabu sana nimekiona kwa macho yangu

    Hizi imani za kijinga huwa sizifagilii. kuna kipindi nilikuwa na njaa vibaya mno halafu jua kali. nikapita mahali fulani, kuna mnazi chini yake nikaona embe jipya kabisa tena limeiva. nikawaza tu kuwa hili kuna mtu kaungusha kisha nikafanya yangu na mpaka leo mambo safi
  6. mperamwitu

    JamiiForums Tanzania Mfahamu Abby Chams, mtoto mwenye kipaji cha kutisha

    eti mwalimu wake wa uraia anajilaumu sana😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
  7. mperamwitu

    JamiiForums Tanzania Harmonize bado yuko chini ya Diamond, ni Mbinu za Kibiashara tu

    hizo timu zenu zitakuja kuwauwa mashabiki wa alikiba wanakwambia usiniseme ni hit mmmh
  8. mperamwitu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Vitu siwezi kuja kufanya kwasababu ya mapenzi

    nakazia sana tena sana.
  9. mperamwitu

    JamiiForums Tanzania Wewe Kocha wa Aston villa... safu yako ya ushambuliaji kuna tatizo hapo umeligundua?k

    hao wengine ni wakosoaji tu achana nao. sijui hawamuoni haaland magoli anayofunga
  10. mperamwitu

    JamiiForums Tanzania Hivi inakuwaje kwenye kila familia kuna mtu mmoja anayesumbua sana?

    huu uzi ni kwikwi leteni visanga wadau😂😂😂
  11. mperamwitu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ulichukua muda gani kumtoa moyoni Ex wako?

    nyimbo gani hii mkuu
  12. mperamwitu

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

    hv hukuwahi kuwa na mwanaume jambaz ww¿ maaana mmmmh
  13. mperamwitu

    JamiiForums Tanzania Tukutane hapa tuliowahi kuvamiwa na majambazi tupeane uzoefu/ushuhuda

    mkuu KANYENGELO usitumie nguvu nyingi kuaminisha mtu yeye kama hakuamin achana nae. maana humu kuna wajuaji balaa Kila kitu wanapinga tuu☺️
Back
Top Bottom