Recent content by Mpeni sifa Yesu

  1. Mpeni sifa Yesu

    Tanzania and Malawi agree to peaceful lake Nyasa resolve at ICJ (International Court of Justice)

    hili usala tukienda icj tunakuwa tunasubiria kama bahati nasibu tu, lolote laweza kutokea, na ndio maana malawi wanao ujasiri mkubwa sana kwamba twende icj, malawi wanapata wapi ujasiri huo? mbona wana uhakika sana kuwa tukienda icj wao watashinda? ushahidi wao uko wapi, pengine wana evidence za...
  2. Mpeni sifa Yesu

    Kenya to supply Tanzania with clean safe water

    hii ni aibu aisee. sitaki kuendelea kusoma post hii.
  3. Mpeni sifa Yesu

    Tanzania and Malawi agree to peaceful lake Nyasa resolve at ICJ (International Court of Justice)

    hii kesi tukienda ICJ tunaenda kushindwa. hakika yake mtakuja hapa na kunikumbuka. ilitakiwa tukatae kwenda icj kwasababu kwenda kule ni voluntary. ili icj iwe na jurisdiction kwetu sisi tunaogombana na malawi, UN charter inasema kuwa lazima nchi zote mbili zi consent kuwa wanataka jambo lao...
  4. Mpeni sifa Yesu

    Crdb bujumbura

    labda hawana mashine za kudetect fedha halali na bandia kwenye matawi yao ya bujumbura na wameambiwa kwasababu tz kuna pesa bandia nyingi, wasipokee hela hizo. si unajua wakati mwingine matapeli wa kibongo wanasababisha hata watu wasio matapeli kama wewe wapate shida kutokana na yale...
  5. Mpeni sifa Yesu

    Dar es salaam-Kinshasa Railway lazima ijengwe

    hili wazo ni zuri sana,
  6. Mpeni sifa Yesu

    bofya kudownload vitabu vya sheria hapa

    tumeboresha, kwenye blog yetu sasa tumeamua kusaidia jamii hasa wanafunzi na watu wengine kupata material ya sheria bure. ukiingia hapo kwenye downloads utapata vingi. tunaviweka kila siku na utafaidika sana. bofya hapa SHERIA KWA KISWAHILI asanteni sana na Mungu awabariki.
  7. Mpeni sifa Yesu

    Which country has the most number of elephants?

    nchi ya thailand na china na nchi zingine za asia haziwezi kufanya hivyo kwasababu zinafaidika na biashara hiyo na wao sio ambao wanaathirika na kupungukiwa na tembo, haiwaumi tembo wetu kuuawa. ila kusema kweli, inauma sana, leo kwenye taarifa ya habari nimeona wamekamata meno ya tembo 90, that...
  8. Mpeni sifa Yesu

    Mtoto sio wako

    SHERIA KWA KISWAHILI
  9. Mpeni sifa Yesu

    Nahitaji nsaada wa kisheria

    SHERIA KWA KISWAHILI
  10. Mpeni sifa Yesu

    sheria ya mirathi ya sasa..!

    sasa unaweza kuuliza maswali kupitia SHERIA KWA KISWAHILI
  11. Mpeni sifa Yesu

    Unaweza pata msaada wa kisheria mtandaoni.

    nimefungua nimeona mengi humu ndani, asante sana kwa link aisee. pia waweza kuchungulia na hapa pia huwa tunajibu maswali mara nyingi. bofya SHERIA KWA KISWAHILI
  12. Mpeni sifa Yesu

    Hiki ni kiini macho au nini?

    mbona sielewi SHERIA KWA KISWAHILI
  13. Mpeni sifa Yesu

    Je? Fomu hii ya PF3, Imeshasababisha Mauti kwa Watanganyika Wangapi mpaka sasa??

    kusema kweli, wengi sana wanakufa kwababu hii. SHERIA KWA KISWAHILI
Back
Top Bottom