Nimepita maeneo ya daraja la Salender, naona kuna polisi wenye silaha wanazama msituni pale na kuna gari la uokozi la Msalana Mwekundu.
Kuna nini kimetokea?
Anayejua.
WAHALIFU WASIOJULIKANA MPAKA LINI?
HAWA wasiojulikana ni watu gani?
Wasiojulikana walimteka roma
Wasiojulikana wamelipua ofisi za *#imma advocate
Wasiojulikana* wameteka watoto arusha wanataka malipo kuwaachia hao watoto.
sasa
Polisi hawa wasiojulikana watabaki mpaka link...
nauza viwanja vilivyopimwa, 7000/=tsh kwa square meter
vipo kimbiji kijaka mbele ya kiwanda cha nyati cement
vipo vya ukubwa mbalimbali kuanzia 400 , 500, 600, 800 na 1200 sqm
mawasiliano
0620430898
0764183123
aksante na karibu
baada ya kitila mkumbo kuteuliwa kuwa katibu mkuu wizara ya Maji na kuacha nafasi yake ya mshauri ACT WAZALENDO, Leo Act wamemtangaza wakili msomi na anayejielewa Albert Msando kuichukua nafasi hiyo...
HONGERA ALBERT MSANDO
HONGERA ACT WAZALENDO KWA KUAMINI VIJANA
Dunia inaelekea sehemu sahihi...
Watu wamechoka vitu feki wanataka vitu au watu halisi wasioigiza maisha na maamuzi....
Kwa matukio yanayotokea yanaonyesha hayo, kuanzia level za uongozi mpaka famili?.......
Mfano:
Wanaoolewa wengi ni wale natural girls not fake... sio wale wazuri wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.