Kitila Mkumbo arithiwa na Albert Msando ACT Wazalendo

baada ya kitila mkumbo kuteuliwa kuwa katibu mkuu wizara ya Maji na kuacha nafasi yake ya mshauri ACT WAZALENDO, Leo Act wamemtangaza wakili msomi na anayejielewa Albert Msando kuichukua nafasi hiyo...

HONGERA ALBERT MSANDO

HONGERA ACT WAZALENDO KWA KUAMINI VIJANA
ACT Wazalendo imeingia dosari
 
Kusema kweli nimeshachoka hiki chama kilichopo madarakani, sana. Lakini nikiangalia upande wa pili, sioni wapinzani wenye nia ya kutufikisha tunapotaka.

Hongera zake mteuliwa
 
Huu mchezo bado utazitafuna sana siasa na maisha ya Wananchi.....baada ya ACT kuasisiwa na wahusika wakiwa ndani ya CHADEMA matokeo yake ndo haya Samson Mwigamba yupo anakula bata ulaya, Kitila ananyonya juisi wizarani, Zito mambo yake yapo sawa kwa stail ya indirect.... Mimi bado akili inanituma kwamba ACT iliasisiwa kwa mkono mchafu wa maccm
 
baada ya kitila mkumbo kuteuliwa kuwa katibu mkuu wizara ya Maji na kuacha nafasi yake ya mshauri ACT WAZALENDO, Leo Act wamemtangaza wakili msomi na anayejielewa Albert Msando kuichukua nafasi hiyo...

HONGERA ALBERT MSANDO

HONGERA ACT WAZALENDO KWA KUAMINI VIJANA
Hivi tunaweza pata kesi angalau mbili au tatu alizosimamia na kushinda?
 
Naona Zitto ametweet kuwa kuanzia sasa mshauri wa chama cha ACT atakayemrithi Kitila Mkumbo ni ndugu mwanasheria Albert Msando.

Kwa uelewa wangu huyu alikuwa ni diwani na mwanasheria wa Chadema.
Je ameshahama au la ?

Nini maoni yako ...?
 
Back
Top Bottom