Wahalifu wasiojulikana wataachwa mpaka lini?

Wahalifu wasiojulikana wataachwa mpaka lini?

mpenda1961

Senior Member
Joined
Apr 2, 2013
Posts
123
Reaction score
78
WAHALIFU WASIOJULIKANA MPAKA LINI?

HAWA wasiojulikana ni watu gani?

Wasiojulikana walimteka roma

Wasiojulikana wamelipua ofisi za *#imma advocate

Wasiojulikana* wameteka watoto arusha wanataka malipo kuwaachia hao watoto.

sasa

Polisi hawa wasiojulikana watabaki mpaka link....

Inawezekana wasiojulikana wengine walijulikana lakini ikapuuziwa sababu ni upande wa mwingine unaumia.

Lakini sasa waovu nje ya wale halisi wasiojulikana* wanaweza kutumia kigezo cha wasiojulikana kutekeleza mambo yao...

Inaweza kuwa na lengo LA kukandamiza au kutesa wanaopingana na kikundi Fulani lakini kikiachwa waovu wataibuka pia na itakuwa *#wasiojulikana pia

Wasiojulikana ni nani anawajua?*

Wasiojulikana ni nani anawapa jeuri*

Wasiojulikana wanapata wapi silaha na ujasiri wa kujtokujulikana

Wasiojulikana wanamtumikia nani?*

Wasiojulikana wanafanya kumfurahisha nani?

Wasiojulikana wanaficha na kutesea watu wapi?

Wasiojulikana wanalindwa na nani?

Wasiojulikana wanaweza kuachwa kizembe wakawa na madhara makubwa kwa taifa mbeleni

Wasiojulikana je wakijulikana mnaowalinda au kuwafadhili mtakuwa tayari kuwataja?

Wasiojulikana wanajulikana na nani?

Wasiojulikana wanaripoti kwa nani?

✅✅✅WASIOJULIKANA WAMEFANYA HAYA✅✅✅

✴ROMA
✴BEN SANANE
✴ULIMBOKA
✴IMMA ADVOCATE

✴KULIPUA MKUTANO WA CHADEMA ARUSHA

✴ KUUA WATU NA KUWAWEKA KWENYE VIROBA KUWATUPA MTONI NA BAHARINI

✴OFISI ZA WANASHERIA ZENJI

*#HAWA MASHETANI WASIOJULIKANA WANAMTUMIKIA NANI?

*#KUNA SIKU

✅wanayemtumikia atashindwa kuwalinda na kuwasapoti na wataanza ku-loose control na kufanya majanga.

*KAMA JAMII

✅tupinge hawa wahuni wasiojulikana

✅kama tunawajua tujue kuna siku watawadhuru hata nyie mnaowalinda

*MUNGU IBARIKI TANZANIA

From;
ⓂⓂ
 
Yale Janjaweed ya Sudan Kaskazini yalikuwa yanafadhiliwa na Serikali kuwaharass wapinzani huko Darfur. Baada ya kufanikiwa na wapinzani kupotezwa, yaligeukia kwa Serikali na kuanza kudemand vitu zaidi. Mpaka leo Serikali inapambana nao maana walishaota mapembe
 
Yale Janjaweed ya Sudan Kaskazini yalikuwa yanafadhiliwa na Serikali kuwaharass wapinzani huko Darfur. Baada ua kufanikiwa na wapinzani kupotezwa, yaligeukia kwa Serikali na kuanza kudemand vitu zaidi. Mpaka leo Serikali inapambana nao maana walishaota mapembe

haya yanaweza kutokea nchini ila kwa namna tofauti....
 
*WAHALIFU WASIOJULIKANA MPAKA LINI?

*#HAWA wasiojulikana ni watu gani?

*#wasiojulikana walimteka roma

*#wasiojulikana wamelipua ofisi za *#imma advocate

*#wasiojulikana* wameteka watoto arusha wanataka malipo kuwaachia hao watoto.

*#sasa

*#polisi* hawa wasiojulikana watabaki mpaka link....

Inawezekana wasiojulikana wengine walijulikana lakini ikapuuziwa sababu ni upande wa mwingine unaumia....

Lakini sasa *#waovu nje ya wale halisi wasiojulikana* wanaweza kutumia kigezo cha *#wasiojulikana* kutekeleza mambo yao...

Inaweza kuwa na lengo LA kukandamiza au kutesa wanaopingana na kikundi Fulani lakini kikiachwa waovu wataibuka pia na itakuwa *#wasiojulikana pia

*#wasiojulikana ni nani anawajua?*

*#wasiojulikana ni nani anawapa jeuri*

*#wasiojulikana wanapata wapi silaha na ujasiri wa kujtokujulikana

*#wasiojulikana wanamtumikia nani?*

*#wasiojulikana wanafanya kumfurahisha nani?

*#wasiojulikana wanaficha na kutesea watu wapi?

*#wasiojulikana wanalindwa na nani?

*#wasiojulikana wanaweza kuachwa kizembe wakawa na madhara makubwa kwa taifa mbeleni

*#wasiojulikana je wakijulikana mnaowalinda au kuwafadhili mtakuwa tayari kuwataja?

*#wasiojulikana wanajulikana na nani?

*#wasiojulikana wanaripoti kwa nani?

✅✅✅WASIOJULIKANA WAMEFANYA HAYA✅✅✅

✴ROMA
✴BEN SANANE
✴ULIMBOKA
✴IMMA ADVOCATE

✴KULIPUA MKUTANO WA CHADEMA ARUSHA

✴ KUUA WATU NA KUWAWEKA KWENYE VIROBA KUWATUPA MTONI NA BAHARINI

✴OFISI ZA WANASHERIA ZENJI

*#HAWA MASHETANI WASIOJULIKANA WANAMTUMIKIA NANI?

*#KUNA SIKU

✅wanayemtumikia atashindwa kuwalinda na kuwasapoti na wataanza ku-loose control na kufanya majanga.

*KAMA JAMII

✅tupinge hawa wahuni wasiojulikana

✅kama tunawajua tujue kuna siku watawadhuru hata nyie mnaowalinda

*MUNGU IBARIKI TANZANIA

From;
ⓂⓂ
Kalete mkojo wako hapa!
 
Watu wasiojulikana wamempoteza Ben Saanane
Watu wasiojulikana walimteka Roma Mkatoliki na kumtesa sana
Roma Mkatoliki alisimulia kila kitu na hakuna aliyefuatilia
Watu wasiojulikana wamekuwa wanamfuatilia Tundu Lissu na yeye akatoa mpaka namba za gari walilotumia. Siku ya kupigwa kwake risasi, gari lilibadilika na kufanana na yale ya Nissani ya shirika fulani linalojulikana. Jambazi na muuaji asiye na uhakika wa ulinzi wa serikali hawezi kufanya kazi mchana!
Watu wasiojulikana wamelipua jengo la ofisi ya mawakili wa IMMA. Tangu hapo Fatma Karume amekuwa kimya, akipiga mahesabu ya nini aseme. Uhuru wake uko mashakani.

Dikteta Idd Amin aliwahi kusema, "Uhuru wa kusema unao, lakini siwezi kukuhakikishia uhuru baada ya kusema". Hili laweza kuwa limemkuta Karume na Lissu.

Tujikumbushe:

Daniel Arap Moi alituhumiwa kumwua Waziri wake wa Mambo ya Nje "Ouko". Katika mazishi yake, Moi akatoa ofa ya kwenda Zimbabwe kwenye sherehe pamoja na mjane ili ajiliwaze!

Idd Amin alipopanga kumuua Askofu Luwum, alimwita Ikulu wakanywa chai na kupiga picha. Usiku huo alimuua.

Bokassa alipotaka kumuua mpinzani wake aitwaye Jean Boaux, alimteua kushika wizara na kesho yake akamuua.

Tujihadhari na salaam za pole. Si kila salaam zina heri ndani yake.
 
IMG-20170908-WA0027.jpg
 
Well said mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom