Recent content by mpenda siri

  1. mpenda siri

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Km upo Geita njoo ubadirishane na mm nipo Biharamulo , masomo ya Arts ,idara secondary Sent using Jamii Forums mobile app
  2. mpenda siri

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Biharamulo ,kagera to Katoro, Geita Sent using Jamii Forums mobile app
  3. mpenda siri

    Nawaomba radhi Watanzania kwa kushiriki kumuweka Madarakani Malinzi

    Chagueni Ally mayay tembele MTU aliecheza mpira na anajua kona zote za nyavu basi, huwezi ukamrudisha MTU aliekua ana tafuna hela za mpira kwa kisingizio aendeleze mambo aliyoanzisha, wizi mtupu, yeye malinzo amechoka, akae pembeni wengine waendeleze jahazi,full stop
  4. mpenda siri

    WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Njoo biharamuro ,nije Geita au Mwanza mjini,idara sekondari 0769066724
  5. mpenda siri

    Nini kimekufanya usioe/usiolewe mpaka sasa?

    Mahari kubwa complication za mahusiano mpaka ndoa ni nyingi makucha yanapofunguka kabla ya ndoa unafanya maamuzi magumu mapema Cost of living sasa ni kuwa taste and preference zinatofautiana
  6. mpenda siri

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    Moyo wa kuvumilia ninao kwani siwezi kuua ila nataka nijue ukweli tu, nisaidie pliz
  7. mpenda siri

    Nimedukua simu ya mke wangu, Simu zetu zina siri nzito, nakufa mimi

    Mkuu hebu nisaidie jina la hiyo application ili nami nifanye majamboz kwan nahisi kuchapiwa japo wife anajidai mlokole safi!
  8. mpenda siri

    Roho imetulia kwa nimpendae

    Mapenzi ya kitoto haya..std v..[emoji32] [emoji2] . yu ha noti siriazi kabisa
  9. mpenda siri

    Napenda wanaume wa kiarabu

    Siasa bongo, utajadili na Nani? Wapinzani wanakimbia kukaa mjengini kisa tuliya amepewa kiti, hakuna maandamano km zamani, anzisha mjadala uone washawasha na virungu vinavyofanya kaz. Umaskini hautaondoka kwa majadiliano Bali kwa kufanya kazi usiku na mchana. MTU mvivu umaskini umjia kama...
  10. mpenda siri

    Kwanini wanaume wanavutiwa sana na mabinti wenye chini ya miaka 20?

    Nimeongelea upande wa kutumika au kugegedwa. Mabinti wengi kwenye early 20s wanakuwa bado hawapendi kuolewa kwasababu ya nyodo na kuchagua sana wachumba lakini bado wanagongwa sana. Wakiwa kwenye late 20s hapo wengi wao ila sio wote wanakuwa wametumika sana,kuto.mbwa na wanajua taste ya dushe...
  11. mpenda siri

    Kwanini wanaume wanavutiwa sana na mabinti wenye chini ya miaka 20?

    Over 20 tayari ni used yaan mtumba over 27 ni skrepa tunaita Chakavu na hapo ndo anastuka na kuanza maombi sana kwa Mungu kwann haolewi
  12. mpenda siri

    Kuwait: Mwanaume aoa wanawake wanne kwa siku moja!

    Wenye wake zaidi ya mmoja dawa yenu IPO jikoni inachemka. Naandaa mswada bungeni ili muanze kuwalipia kodi.nimegundua hiki ni chanzo kizuri cha mapato. Ntamshauri prezda magu awamulike wenye wake zaid ya mmoja hapa bongo ili akusanye kodi kwa kila mke aanze na 25000. Kwa mwaka. Kama unao 4@25000...
  13. mpenda siri

    Kuwait: Mwanaume aoa wanawake wanne kwa siku moja!

    Acha usengerema ww, mi kidume cha mbegu.
  14. mpenda siri

    Nampenda mwanaume anayejiongeza

    Wanaume tunabana matumizi baada ya kutumbuliwa na kubanwa sana na magu kwenye kila idara. Hakuna pesa km kwa mkwere. Madili hakuna,kodi kubwa na ushuru kila kona mpaka kupaki gari,kutumbuliwa majipu na watumishi hewa. Tunaomba mtuhurumie tunapokula mzigo Bure Mara mojamoja.
Back
Top Bottom