Nimefanya maombi ya umeme tokea mwezi wa nne hadi sasa sijapata control namba na surveyor alishakuja kwangu. Nilifika ofisini Chanika majbu ni kwamba hakuna NGUZO. Mpaka sasa sijaunganishiwa nomba mnisaidie namba ya ombi 290426-0330
Hizo nchi zina UTAJIRI wa aina yoyote mkubwa kama MAFUTA?
Zinaingiliwa na nchi zingine katika chaguzi zao, migogoro yao ya ndani n.k?
Hadi umri huo hujui kwanini baadhi ya nchi za imani tofauti na UKRISTO zinapigana vita vya kutengenezwa? Au umeamua kujifurahisha?
Watumishi wa umma ambao tumeomba UHAMISHO kwa kutumia mfumo wa ESS na maombi yanaonesha yapo TAMISEMI ni lini mtayashughulikia na kutoa majina ya UHAMISHO?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.