Viwanda vingi vinakufa kwa kukosa strategy na model nzuri za mauzo. Kiwanda changu kinalenga eneo la walaji lililosahaulika, nina model yaki
pekee ya usambazaji. Karibu kwa mazungumzo zaidi, ni hatari kuzungumza kila kitu hapa.
Hatuzalishi maji japo bidaa inahusiana a maji
Tupe story zaidi kuhusu uhusiano wako ba unique sisters, tuambie kihusu too proud, zungumzia wimbo wako wa Mja wako ( this is my favourate), zungumzia Amana vijana center. Waeleze vijana jinsi ilala ilivyochangia ukuaji wa muziki kwa ujumla.
Kutokuoza kwa maiti ya huyo hayati ni kwa kuwa misri ya wakati huo walikuwa akifanya mummyfication
Hayati Ramsesse II hawezi kuoza sababu alifanyiwa mummyfication kwa taratibu za misri ya wakati huo. Hivyo hivyo kwa waliomfuatia kama akina Tuttkahmoon na wengine wengi. Issue ya kuzikwa na...
Wakati ninasoma shule ya msingi miaka hiyo, kulikuwa na mzee kama huyo uliyemsimulia, akijulikana kwa jina la utani tu la NYAU, lilizoeleka kwakuwa alikichukia, akiishj maisha ya upweke kwenye kibanda kidogo pembeni ya shule, mpaka miaka hiyo ya 90 mwanzoni, alikuwa bado akivaa mavazi ya...
Eminza Food Products
Je unaishi au una biashara jirani na shule? Una deep freezer?
Sisi ni wazalishaji wa bidhaa ya Bingo Tropical Ice Candy katika ladha tofauti, bidhaa yetu itakupa faida ya mpaka Tsh 10,000 kwa siku baada ya mauzo.
Tunapatikana Mbezi Luis, Dsm.
Kwa maelezo zaidi na deal ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.