Recent content by Mpemba Mimi

  1. Mpemba Mimi

    JamiiForums Tanzania Sitokaa nitongoze mtoto wa mtu! Hili lililo Nikuta limenifunza kitu MJINI hapa

    Pole sana Mkuu... Hapo uliibiwa mchana mchana....)walikuwa wanakula vyakula ambayo kwo hawali, au hata hawavijui (wanaangalia bei tu). Siku nyingine Usikubali kumlipia mtu chakula ambacho huwa kwao hawapiki na kula. Mwabie akajifunze kwao kwanza, ndio aje kwako umnunulie.
  2. Mpemba Mimi

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Polisi wamempiga daktari mwenzetu mpaka kalazwa ICU

    Mkuu una hakika yule ni Daktari na siyo Bondia? Kuna Kozi za U-bondia Ma-Dakari wanajifunza? Maana sio kwa kile kichapo alichokitoa...
  3. Mpemba Mimi

    JamiiForums Tanzania Dada ni mzuri, amesoma ana degree. Ila hana akili

    Huo ndio UWAJIBIKAJI sasa Mkuu.......Tuma Mobile Money hapo Mtoto achukue Bolt mara Moja....
  4. Mpemba Mimi

    JamiiForums Tanzania Balo gani unataka nikutajie bei ya Godown?

    Nipe bei ya Men Short Sleeve Shirts
  5. Mpemba Mimi

    JamiiForums Tanzania Kijana, talaka ukiwa na Umri zaidi ya miaka 40 ni kukosa maturity

    Acha Uoga wewe.....
  6. Mpemba Mimi

    JamiiForums Tanzania Mke wangu anapenda 'kupumua' mbele yangu. Ananidharau au ndio mapenzi yenyewe?

    Zingatia sana hii point Mkuu......Underline na Pigia Mstari.....
  7. Mpemba Mimi

    JamiiForums Tanzania Serikali iruhusu video za uchi na ngono mitandaoni na vipindi vya luninga

    Umeeleweka Mkuu....Hebu tuma hapa za kwako tuzione...tuanze kuziangalia sasa hivi....
  8. Mpemba Mimi

    JamiiForums Tanzania Pigeni mswaki

    Wala sio jasho peke yake.......
  9. Mpemba Mimi

    JamiiForums Tanzania Kwa hali hii, waandaaji wa Maandamano wameshinda kwa 100%

    Wewe shangilia tu - ila ujue na uchumi wako unashuka pia. Uchumi wa mtu mmoja mmoja unashuka kwa watu kukaa nyumbani. Kuna watu wamejiajiri - sio waajiriwa kama wewe. Wenzako waliojiajiri - wakikaa nyumbani - pesa haiingii kama wewe ulieajiriwa. Sasa hesabu hizo siku ambazo mnafanya watu...
  10. Mpemba Mimi

    JamiiForums Tanzania Hatimaye Martin Chegere awa Profesa wa Uchumi

    Mkuu - Amekuwa Associate Professor - Na sio Professor (Full). Kuna tofauti...
  11. Mpemba Mimi

    JamiiForums Tanzania Kumbe tumefika Namba Q na hamsemi? DJ niletee 'wasiojulikana' mbele... Halafu kuna malegend wasioweka plate kabisa!

    Labda amepewa hiyo namba in-advance.....Labda tuulize TRA - kama mtu unaweza kununua namba yoyote iliyo mbele - hata kama haijafikiwa.
  12. Mpemba Mimi

    JamiiForums Tanzania Ndio maana watu huwa hawapendi kutoa lift

    Hiyo itakuwa nI MBAGALA Mkuu.
  13. Mpemba Mimi

    JamiiForums Tanzania Leo wajanja wengi mitandaoni wamekiri ni bora kuoa bikira. Lile pango limewatisha

    Mkuu weka kapicha kidogo, labda hilo PANGO linaweza kuwashawishi wizara ya MALIASILI NA UTALII wakaliongezea kwenye MAPANGO YA AMBONI - tukaongeza vivutio vya UTALII na kuongeza mapato ya nchi (GDP), na haswa FOREIGN CURRENCY.
  14. Mpemba Mimi

    JamiiForums Tanzania Mdau: Bilioni 151 zilizozidi kwenye ujenzi wa Uwanja wa Arusha zingeweza kujenga Barabara ya lami Kilometa 151

    Hata hii barabara ya Morogoro (Morogoro road); kutoka Kibaha mpaka Morogoro ingekuwa imekwisha.
  15. Mpemba Mimi

    JamiiForums Tanzania Je ni sahihi mke kulala na nguo akiwa na mumewe?

    Kwani unaona shida kumwambia avue ukitaka kum-kula?
Back
Top Bottom