Recent content by mpekunzi

  1. M

    Printer HP LaserJet P2055d inauzwa

    Kiasi gani? Je, umekwisha tumika kwa muda gani saiv ?
  2. M

    Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

    Nitumie email au namba yako ya simu
  3. M

    Ubosi unanifanya nisiolewe, umri unazidi kusonga

    Naomba unitumie namba yako ya simu au email tafadhali ili nikupatie ushauri Wa dhati na ambao MTU mwingine hawezi kuusoma.
  4. M

    Nani kumrithi Waziri wa Nishati na Madini Prof. Muhongo?

    Hata mleta Mara mwenyewe akipata nafasi hiyo,ataichangamkia Sent using Jamii Forums mobile app
  5. M

    Mwl mwenzangu anataka mume

    Mwambie anitumie namba ya simu yake t Post sent using JamiiForums mobile app
  6. M

    Mwl mwenzangu anataka mume

    Mannie anitumie namba ya simu yake Post sent using JamiiForums mobile app
  7. M

    Magufuli, wewe ni Rais wa Tanzania sio Kanda ya Ziwa tu

    Chato ni ikulu ndogo nikimaanisha kuwa huko ndo Nyumbani kwako/kwako. Hivyo, huwa ni lazima aende kupumzika pamoja na kusalimia ndugu na jamaa.
  8. M

    Magufuli, wewe ni Rais wa Tanzania sio Kanda ya Ziwa tu

    Hukutaka Mh Rais aende kuzindua mradi Mpya wa Maji ? Pia ni vema ujue kuwa yeye atakuja huko uliko tu. Hawezi kataa kuja isipokuwa ratiba na muda tu.
  9. M

    NMB Tanzania Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    Baadhi ya wafanyakazi wa NMB Tarime si waaminifu , unapokwenda kuchukua hela zaidi ya laki tano, usipo hesabia palepale, utajikuta unachukua hela pungufu. Hii imenitokea wiki iliyopita nilichukua milioni mbili na nikawa nimepewa za noti ya tsh elfu mbili na zilikuwa zimefungwa kwa...
  10. M

    Mrisho Gambo: Wapinzani watapotea

    Upinzani unatakiwa kuwepo nchini ili wananchi waweze kuchagua chama wanachokitaka. Pia upinzani unasaidia kuikumbusha serikali kutekeleza ahadi zake ilizokuwa imezitoa. Hivyo, nahisi kuwa vyama Vya upinzani vitaweza kupotea Kabisa endapo katiba yetu itatamka wazi kuwa nchi INA chama kimoja cha...
  11. M

    KKKT wamtaka rais Magufuli akamilishe Katiba Mpya

    Rais wa jamhuri ya muungano dkt john pombe Joseph magufuli ktk kampeni zake za Lusaka urais 2015 hakuwahi kutamka kuwa atakamilisha /ataendelea na ukamilishaji wa katiba. Mimi nijuavyo na ninavyofikiria ,Mh Rais john pombe Joseph magufuli atashughulika na ukamilishaji wa katiba Mpya kuanzia...
  12. M

    TAKUKURU kwa sasa wanachunguza kashfa za RICHMOND, EPA na Rada.

    Kuuza nyumba za serikali,hakukumchafua kwa vile hela iliyopatikana,iliwekwa kwenye akaunti ya serikali. Hivyo huwezi kumtuhumu . pia ktk uuzaji huo, JPM alisimamia utekelezaji kulingana na maamuzi ya serikali ya awamu ya tatu ambayo iliona kuwa nyumba hizo zilihitaji gharama kubwa ya fedha...
  13. M

    Kinachoendelea Pwani nini tatizo?

    Tatizo ni kwa wana kibiti kutoweka wazi sababu ya mauaji dhidi ya watu wasiokuwa na hatia. Kama tungeliweza kujua chanzo/tatizo LA mauaji,hapo tungeliweza kutoa maoni yetu juu ya nn kifanyike ili kuzuia mauaji na uhasama huko kibiti !
  14. M

    kauli ya rais imeongeza kasi ya ngono kati ya watu wazima na wanafunzi

    Inawezekana hukumuelewa vizuri Mh. Rais dkt john pombe magufuli . Ninashauri usikilize hotuba yake upya .
  15. M

    Kivumbi cha Magufuli kwa ACACIA kuzaa matunda.

    John Heche mbunge wa tarime vijijini,napenda pia kumshukuru kwa kuonesha namna wananchi wa Tarime wanavyozurumika na kutopewa haki zao za msingi kwani uongozi wa Acacia unatumia janja na sababu nyingi kukwepa kufidia wananchi wanaoishi ndani ya mita 200 kinyume na Sheria ya madini ya mwaka...
Back
Top Bottom