Mwl mwenzangu anataka mume

Walimu wanaharaka sana ya maisha ndo maana wengi sana wanaishia kuzalishwa tu mtoto mmoja mmoja na wanaume wanaachana nao
 
Mwanamume wa ukweli hatafutwi Bali husubiriwa! Huja tu na hajawahi kuacha kuja kwa walio waaminifu wa kusubiri huku wakijitunza "usafi" wao.
Ila utasubiri sana kama haujui kujitunza, maana Mungu huwaongoza wanaume waaminifu kwa wanawake waaminifu na si vimginevyo!
Kwa upande wa pili shetani huandaa mazingira ya wanawake wasiotulia kuwavutia wanaume wasio waaminifu waliojaa tamaa na macho ya uzinzi!
 
Anataka mume kuanzia miaka mingap hadi mingap na je walio under 28

Na anaia ya dhat hapo VP???
 
Aisee,Mesiah bado upogi na hizi mambo tu,haijakaa poa sana bhanaaa,mfundishe rafiki yako kutumia Jf then aje ajieleze mwenyewe, sio kwa style hii ebo!!!
 
Nakuja huko mbeya next week nami niaonane naye face to face kama ulivyofanya wewe posta mistress. .
 
Inaonyesha Wote wawili Wewe na huyo Mwenzako mna bahati mbaya na dhiki mno na Wanaume. Jitakaseni Kwanza mtaolewa tu. Ukina Mwanamke anatafuta Mume Mitandaoni jua ya kwamba amefilisika fikra / upeo kwa kiwango cha juu kabisa na hayuko pia mbali kuwa Mwendawazimu wa Kutukuka.
Bilashaka,anatafuta mume,siyo majamaa wakumgonga nakumuacha,hao maranyingi huwa hawakosekani nasiyo wakutafuta,mume siku hizi ni dili sana,hatakama hana vigezo anavyotaka muolewaji.
 
Salama jamani,

Nisiwe mnafki japo mwenyewe niliweka tangazo humu kutaka mume lakini niliochat nao hatukuwahi fikia muhafaka ila baadae Mungu alinijaalia nikampata mwanaume katika mazingira ya face to face.

Bado nina iman mpo mlioserious ni mwl yupo Mbeya Uyole ana 28 hajawai zaa she is a Ngoni one primary school teacher maji ya kunde kuelekea weupe mrefu wastani ila kwenye ufupi hayumo mpole sana mambo mengine mtaulizana.

Samahani jamani yupo serious sana.

Naomba pm msije na utaniutani jamani plz.
Yaan Mwalimu mzima anashindwa kujiongeza! Sie uwa tunafanya hivi; tunaitisha vikao vya wazazi wa wawanafunzi kisha tuna anza kupoint. Mwambie ajiongeze watakuja wametia suti za hatari na magari yakutosha
 
Back
Top Bottom