Mrisho Gambo: Wapinzani watapotea

Mrisho Gambo: Wapinzani watapotea

Mimi huwa nawasikitikia sana vijana wenzangu wenye fikra za aina hii. Kwanza they are in the wrong side of history, it doesn't need one to be a brain surgeon kutambua kwamba future ya Taifa letu- CCM is no where to be found. Lakini pili na muhimu zaidi ni kwamba hizi kazi za kuteuliwa Muda wake ukiisha utafanya nini bado ukiwa na nguvu nyingi chini ya umri wa miaka 50? Angalau basi uwe na PhD yako kwani hautakosa kazi hata ya kufundisha masuala ya uongozi baada ya kupata uzoefu kupitia nafasi hizi.

Tutakutana nao mitaani kwani wengi hata wa awamu iliyopita tupo nao mitaani na Sasa wanatuelewa vizuri sana tulikuwa tuna maanisha nini. Watakuja tu.
Halafu hawajifunzi. Hivi nani ange amini Novatus angerudi kucheza na Mike studio?? Kiburi alichokuwa nacho wakati wa Udc Hai na Moshi leo nae anapanhiwa vipindi huwa nawaonea huruma sana hawa vijana wa Lumumba
 
Wpinzani tafteni njia nyingine ya kukabiliana na hawa jamaa, kweli mtapotea kama si kupoteana, msifanye mzaha moto huu si wa mchezo sana, mkadhani moto wa mabua, kasi kwenu sasa
 
Atapotea yeye mwenye siasa za kibaguzi tena hana muda mrefu atarudi kufanya kazi zake za awali
 
Alikuwepo kiburi zaidi yake na aliyekuwa na malengo kama yake badala yake kapotea yeye badala yakupoteza chadema. Amuulize Magesa Mulongo
 
Alikuwepo kiburi zaidi yake na aliyekuwa na malengo kama yake badala yake kapotea yeye badala yakupoteza chadema. Amuulize Magesa Mulongo
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amefunguka na kusema kuwa wapinzani wa Tanzania kama hawatabadili aina ya siasa wanazozifanya sasa basi watapotea kwani serikali ya awamu ya tano imepata Rais ambaye hataniwi na wala hatishiki.

Gambo amesema kuwa wapinzani baadala ya kuanza kupiga porojo zisizo na msingi bali wajipange tu kumsaidia Rais John Pombe Magufuli ili aweze kutekeleza mambo aliyoahidi kwa Watanzania kwa miaka mitano.

"Nataka niwaambie wanasiasa hawa wa upinzani wasipobadilisha aina ya siasa wanayofanya kwa ninavyoiona mimi serikali ya awamu ya tano watapotea, kwa sababu tumepata Rais ambaye hatanii, unajua wameshazoea wengine wakitishwa tishwa kidogo wanaingia mitini huyu Magufuli akinyooka amenyooka, ananyoosha rula tu utaamua mwenyewe ukae kushoto au kulia. Kwa hiyo mimi niwashauri tu itakuwa vizuri badala ya kupiga porojo wajipange kumsaidia Rais aweze kutekeleza mambo aliyoahidi kwa Watanzania kwa miaka mitano" alisema Gambo

Mbali na hilo Mkuu wa Mkoa huyo wa Arusha amesema kuwa kwa mtu yoyote ambaye ataonekana kutaka kuikwamishan serikali basi watadili naye asubuhi mchana na jioni.

"Kwa mtu yoyote ambaye ataonekana kuikwamisha serikali isitekeleze malengo yake nataka niwahakikishie kwa uwepo wangu hapa tutahangaika naye asubuhi, mchana na usiku kwa mbinu zote zile, kama wanataka porojo wasubiri 2020, sasa hivi kama wanataka tusaidiane kupeleka huduma na maendeleo kwa watu, haiwezekani tukawa na serikali au nchi ambayo kila siku ni porojo tu, kila siku siasa" alisisitiza Mrisho Gambo

Chanzo: EATV

My take:

Kwa kauli hizi, Wakuu wa mikoa na Wilaya wapo kwaajili ya kupoteza upinzani sio kuketa na kusimamia Mendeleo.

Inawezekana vipi mkuu wa mkoa asijue umuhimu wa wapinzani? Sipati picha wajumbe wa nyumba kumi watafanyaje. Wanasiasa wetu hawana elimu ya siasa.

Wnachukulia vyeo kama zawadi na wamesahau cheo ni dhamana. Juzi kati Nape alikuwa anapinga bunge live lakini leo analilia bunge live. Huu ni mfano wa kwamba maisha hupanda na kushuka. Tutende haki bila kumuonea mtu wala kumuogopa Mtu. Acha na yule mkuu wa mkoa anayeharibu shamba la mwanchadema na kuacha shamba la mwanaccm waliyepakana naye.

Amesema jambo jema.Ni ushauri mzuri sana.Hata mimi kama mpinzani wa mambo mengine ya Magufuli nimepokea ushauri huo.Na watu wa aina yangu tutafanyia kazi ushauri wake.Tutaipinga Serikali ya Magufuli constructively and objectively.Nina imani wakosoaji (wapinzani) wengine nao watauelewa huo ujumbe.

Hata hivyo kuna jambo moja kubwa ambalo wewe Gambo inabidi ulielewe vizuri.Na katika dini yako ya Uislamu sijui unafundishwaje.Katika Ukiristu ni kwamba lazima ufundishe na kuhubiri kile unachokiishi.Huwezi kuhubiria watu waishi kwa upendo wakati wewe unaongozwa na chuki? Unahubiriaje watu amani wakati wewe ni muumini wa jino kwa jino? Huwezi kuhubiria watu huruma wakati wewe ni katili na rafiki yake watesaji?

Mrisho,Magufuli bosi wako anayaishi anayoyanadi kwa vitendo.Hivyo ndivyo anavyofundishwa katika Ukiristu.Gambo umefanya nini cha kujivunia Arusha hadi sasa? Wenzio Mkoani Pwani kwa sasa wanafungua viwanda tu kwa kwenda mbele.Tanga huko nako kutakuwa kivumbi cha Kiwanda cha Simenti.Wewe unahangaika na watu.Unahangaika na wapinzani.Unachacharika na akina Lema na Meya Calist asubuhi hadi eti mchana!

Tafuta na hamasisha wananchi wako wafungue viwanda.Viwanda vya ukweli vinavyobakiza mtaji na faida ni vya wazawa.Acha kulala, kuota na kupoteza muda kutafuta maneno ya kupashia wakosoaji wako.Hayo unayosema yangeweza kusemeka yenyewe tu kwa vitendo.Umejifunza nini hadi sasa toka kwa boss wako?Yeye leo alikuwa ofisini anapanga mipango ya kuzalisha umeme wa uhakika kwa ajili ya viwanda.Wewe kinyume chake unapovuka na kuwaonyesha wakosoaji wenu "kaburi" lao! Sasa hata wewe ujue ikiwa hutokaa uishi na kutenda "Kikiristu" chepe ya kaburi lako litakuwa ni viwanda.Acha kulala na kuota tu kutaka watu wengine waishi usiyoweza kuyaishi.Inaelekea hujui majukumu yako.Inaelekea falsafa ya "Hapa kazi tu" huielewi barabara!
 
Upinzani unatakiwa kuwepo nchini ili wananchi waweze kuchagua chama wanachokitaka. Pia upinzani unasaidia kuikumbusha serikali kutekeleza ahadi zake ilizokuwa imezitoa. Hivyo, nahisi kuwa vyama Vya upinzani vitaweza kupotea Kabisa endapo katiba yetu itatamka wazi kuwa nchi INA chama kimoja cha siasa lkn vinginevyo vyama Vya siasa vitaendelea kuwepo ili kuleta ushindani na kuwafanya watawala wasijisahau ktk uongozi wako.
 
Hajui analosema wala anachomaanisha Mungu amsaidie apate japo busara kidogo..
 
JIDANGANYENI NA MH JPM, YEYE NA MAKUMI YAKE GAMBO NA MAMOJA, CLOCK ARE TIKING.
 
Atapotea yeye bado anavutiwa pumzi, kijana mnafiki sana huyu, sio wa kumpiga JK vijembe. Vyama anavyovitaka ni vya akina Mruma, Cheyo, Dovutwa na wanasiasa kama mkumbo, Mngwira. Hawezi kuchungulia wapinzani vyama na aina ya upinzani, kuku Wee Gambo.
 
Upinzani uliopo ni masalia. Yaani hauna jipya. Yaani ulishakufa siku nyingi mno. Tz hatuna upinzani. Rais aliposema mtu yeyote aliyepokea mwanachama/wanachama wa CCM aje awapokee pale kibaha mbona walikosekana? Yaani chama sasa ni CCM tu!

Kwa hakika kazi kubwa inayofanyika awamu hii ni kudhibiti ushindani wa kisiasa. Sasa kama hawapo tena kwanini watu wanakosa usingizi na kutumia hata rasilmali za taifa kupambana na watu ambao hawapo? Sababu pekee ya mtu kutamani kuua ushindani wa kisiasa ni ubinafsi na uroho wa madaraka tu tena uliopitiliza.
 
Wapeleke muswada bungeni wa kufuta mfumo vyama vingi, na wabadile katiba kuwepo mfumo chama kimoja ,hakuna atakeye wachalenji tena, wananchi hutaki unafiki
 
Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo amefunguka na kusema kuwa wapinzani wa Tanzania kama hawatabadili aina ya siasa wanazozifanya sasa basi watapotea kwani serikali ya awamu ya tano imepata Rais ambaye hataniwi na wala hatishiki.

Gambo amesema kuwa wapinzani baadala ya kuanza kupiga porojo zisizo na msingi bali wajipange tu kumsaidia Rais John Pombe Magufuli ili aweze kutekeleza mambo aliyoahidi kwa Watanzania kwa miaka mitano.

"Nataka niwaambie wanasiasa hawa wa upinzani wasipobadilisha aina ya siasa wanayofanya kwa ninavyoiona mimi serikali ya awamu ya tano watapotea, kwa sababu tumepata Rais ambaye hatanii, unajua wameshazoea wengine wakitishwa tishwa kidogo wanaingia mitini huyu Magufuli akinyooka amenyooka, ananyoosha rula tu utaamua mwenyewe ukae kushoto au kulia. Kwa hiyo mimi niwashauri tu itakuwa vizuri badala ya kupiga porojo wajipange kumsaidia Rais aweze kutekeleza mambo aliyoahidi kwa Watanzania kwa miaka mitano" alisema Gambo

Mbali na hilo Mkuu wa Mkoa huyo wa Arusha amesema kuwa kwa mtu yoyote ambaye ataonekana kutaka kuikwamishan serikali basi watadili naye asubuhi mchana na jioni.

"Kwa mtu yoyote ambaye ataonekana kuikwamisha serikali isitekeleze malengo yake nataka niwahakikishie kwa uwepo wangu hapa tutahangaika naye asubuhi, mchana na usiku kwa mbinu zote zile, kama wanataka porojo wasubiri 2020, sasa hivi kama wanataka tusaidiane kupeleka huduma na maendeleo kwa watu, haiwezekani tukawa na serikali au nchi ambayo kila siku ni porojo tu, kila siku siasa" alisisitiza Mrisho Gambo

Chanzo: EATV

My take:

Kwa kauli hizi, Wakuu wa mikoa na Wilaya wapo kwaajili ya kupoteza upinzani sio kuketa na kusimamia Mendeleo.

Inawezekana vipi mkuu wa mkoa asijue umuhimu wa wapinzani? Sipati picha wajumbe wa nyumba kumi watafanyaje. Wanasiasa wetu hawana elimu ya siasa.

Wnachukulia vyeo kama zawadi na wamesahau cheo ni dhamana. Juzi kati Nape alikuwa anapinga bunge live lakini leo analilia bunge live. Huu ni mfano wa kwamba maisha hupanda na kushuka. Tutende haki bila kumuonea mtu wala kumuogopa Mtu. Acha na yule mkuu wa mkoa anayeharibu shamba la mwanchadema na kuacha shamba la mwanaccm waliyepakana naye.
kiboko yao nikibiti tu hao
 
Gambo bwana sijui anafikiria kwa kutumia mat.......ko
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom