Recent content by Mpe Akupele

  1. M

    Muda mfupi ujao Wajumbe wa BMK wa Kura ya hapana wanaitisha Press na kuondoka

    CCM IS JUST MONSTERS WE DEFY AND IF WE MUST DIE LET US NOBLY DIE THIS IS WHAT THEY DID( All HAPANA Voters )Na hii ndo imeonyesha maana halisi ya MANENO( sitta ) DHIDI YA VITENDO ( HAPANA Voters)
  2. M

    Muda mfupi ujao Wajumbe wa BMK wa Kura ya hapana wanaitisha Press na kuondoka

    If we must die let us nobly die Must not be like hogs!!!! Hahahahahaha umenikumbusha kitamboo na ticha wa lecture!!
  3. M

    Uhamiaji wawazuia Okwi, Kiongera kucheza Simba

    Huyu jamaa wa kuitwa sembo IQ yake ni 0.0 hivyo thinking capacity hamna ukibishana NAE unapoteza muda kuchelewa kukutwa na hatia hakuhalalishi Uovu.
  4. M

    OCS afumaniwa na mwanafunzi wa Kidato cha Nne

    Umetisha Mzee kaka walivyo Wengi wao!!
  5. M

    Israel waongeza submarine yenye uwezo wa kurusha silaha za Nuklia

    Israeli hata SIKU moja hawezi kumwingia Irani kivita, kwanza kwenye Masuala ya Silaha Izrael ni tegemezi wakati Irani Inabuni na kutengeneza yenyewe,Uwezo wa Ki-nuclear wa Irani ni mkubwa kuliko Iran pia Uchumi wa Iran ni imara kuliko israel na mwisho Kama Yale Mataifa 5+1 yakithubutu kulegeza...
  6. M

    Mhando amkana mkewe mahakamani

    Bado watakuwa na makosa kwani kumpa mtu tenda kwa kuwa tu ni ndugu AMA iwe hawara hairuhusiwi kisheria hapo wakichofanya ni kuchelewesha tu hiyo kesi lakini bado hawaja maliza tatizo hebu watafuteni wataalam wa masuala ya ndoa kwani siku hizi ukiishi na mwanamke ndani ya miezi Sita tu...
  7. M

    Mhando amkana mkewe mahakamani

    Mhando amezaa na eve hivyo watoto wapimwe DNA ndipo itajulikana Kama yeye ni mkewe AMA la!
Back
Top Bottom