sembo
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 4,350
- 3,451
Upeo wako wa kuelewa naona umefika ukingoni nimekuuliza kama uhamiaji hawakuchukua hatua mapema dhidi ya raia wa nje anayefanya kazi nchini kinyume na sheria basi wasichukue kabisa sababu wamechelewa kuchukua...badala ya kulia na viongozi wenu kwa nini hawajakamilisha taratibu unawaza hujuma tu...ila sishangai RAGE alishamaliza kila kitu.
Vibali vilishaombwa tangu kitambo ndo mana jana kwizera, kiongera na phiri walipata jana hiyo hiyo. Tofauti na vibali vya wale wabrazil watatu ambavyo mpaka leo vinashughulikiwa, ingawa vilishaombwa tangu zamani.