Recent content by mparestina

  1. M

    hv mlio kwenye ndoa mnawezaje maisha bila kuwa na YESU?

    kiukweli nashindwa kuelewa jambo hl,kuwa wanandoa mnaishije kwenye ndoa bila Yesu?sasa si mtaishi kutoana ngeu humo ndani?na kwenda jehanamu kwenye moto wa milele?okokeni vijana wenzangu,kwa YESU ni raha tupu.ujumbe huu wafikishie na wengine.sina meng kwa leo.
  2. M

    Kuamka kwa Uislamu Tanzania kielimu na kimaendeleo

    hili tatizo sijui litaisha ln,2muombe Mungu a2saidie.maana hakuna k2 kinapoteza maendeleo kama itikadi za dini.alafu mada kama hz hazifai kuwekwa kwenye jopo la wasomi namna hii.2we makin sana.
  3. M

    Most university students think dat university is a factory 4 mariage.WHY?

    Yaana kinachonishangaza, kila unayeongea naye, anasema mwaka wa tatu usiishe kabla cjapata mke/mme, sasa nashindwa kuelewa hv huko mtaan hamna wachumba, au ndio vyuoni kumegeuka kuwa INDUSTRY 4 Mariage? Nisaidieni hl wasomi wenzangu.
  4. M

    Vijana naasa tumrudieni mungu.

    balle cjabagua,ukisoma vizuri hiyo sms,imenigusa na mimi ,pia kwa maana bado nipo duniani.wewe kama bado hujamrudia chukua ha2a,huwez jua ya badae
  5. M

    Vijana naasa tumrudieni mungu.

    wewe usiangalie wachungaji,mtazame Yesu tu,ndipo utaponya roho yako.
  6. M

    Vijana naasa tumrudieni mungu.

    usia huu nauwasilisha kwenu ninyi wana jf,ili wote kwa ujumla tuwe chachu ya mabadiliko,maana mambo 2nayofanya cjui YESU akirud 2taendaje naye kwa matendo ye2 maovu.jamani tuacheni uzinzi ukimwi adhabu ya ukimwi itatumaliza pia inaniuma sana watoto wanavyotupwa,mimba zinazotolewa bila hata...
  7. M

    Kwanini wanaume siku hizi hawaoi haraka?

    kiukweli jamaa angu hakuna muda maalumu wa kuoa/kuolewa,wewe jiandae tu,maana Mungu ndiye ajuaye vizuri siri hii.
  8. M

    Kwanini wanaume siku hizi hawaoi haraka?

    wana jf naomba mnisaidie hil nielewe mchakato mzma.
  9. M

    Natangaza Ndoa

    hongera kwa kutangaza nia,lkn kuwa makini wachumba wa siku hz bwana,hawaamnki kabsa.thanks
  10. M

    Nafokewa na mchumba

    pole sana kwa kweli,mimi nadhani cha kufanya yeye akikufokea,wewe u2lie 2,akiona humjibu ataacha
Back
Top Bottom