Vijana naasa tumrudieni mungu.

mparestina

Member
Jun 4, 2011
10
8
usia huu nauwasilisha kwenu ninyi wana jf,ili wote kwa ujumla tuwe chachu ya mabadiliko,maana mambo 2nayofanya cjui YESU akirud 2taendaje naye kwa matendo ye2 maovu.jamani tuacheni uzinzi ukimwi adhabu ya ukimwi itatumaliza pia inaniuma sana watoto wanavyotupwa,mimba zinazotolewa bila hata aibu,dada acha hizo nakusihi,kwa jina la Yesu ushindwe.vijana wenzangu ni hayo 2 nilitaka kuwaasa.
 
Naona hapo juu umeongela
dhambi moja tu ( Uzinzi)

Kila mtu atamrudia Mungu wake
akiwa tayari .. asante sana kwa ujumbe lakini...
 
usia huu nauwasilisha kwenu ninyi wana jf,ili wote kwa ujumla tuwe chachu ya mabadiliko,maana mambo 2nayofanya cjui YESU akirud 2taendaje naye kwa matendo ye2 maovu.jamani tuacheni uzinzi ukimwi adhabu ya ukimwi itatumaliza pia inaniuma sana watoto wanavyotupwa,mimba zinazotolewa bila hata aibu,dada acha hizo nakusihi,kwa jina la Yesu ushindwe.vijana wenzangu ni hayo 2 nilitaka kuwaasa.

Shukrani kaka 4 the reminder....ni kweli with th rate and kinds of threads currently on this forum..I am forced to agree with u, uzinzi utatumaliza more than any other sin!!!
It's for our own good anyway maana Biblia inasema, "Aziniye na mwanamke hana akili kabisa, anafanya jambo litakalomwangamiza nafsi yake." Mithali 6:32....Na bado unashangaa kwanini ni mwezi wa sita hujafanya jambo lolote? hauwezi kuwa haujalewa...#jussaying
 
Yesu anasema"kama humpendi jirani yako unaye muona utanipendaje mimi usiyeniona?,amri kuu nawapa PENDANENI.Ukitaka kumrudia Mungu fuata amri zake 10.lakini ibada ni Muhimu.Muombe mungu kabla ya kila kitu unachotaka kufanya nae atakusaidia kwani Mungu ni mwingi wa huruma.Mwili wako ni hekaru la Mungu.ametuumba tumtukuze yeye.halelluyah...!!??
 
Hiyo tayari itakuwa lini dada AD? Ndo maana kaka hapa anatukumbusha ili walau tuiharakishe hiyo tayari kabla tayari haijatuharakisha kukutana na muumba we2!

Depends
hiyo tayari inaweza kuwa sekunde
hii, dakika hii, lisaa hili pale mtu
atakapoamua kumrudia Mungu kwa
Wake kwa vitendo na maneno ..
na kama hatuko tayari na tunasema
Tumemrudia Mungu si utakuwa unafiki tu dear....
 
Nakubaliana na wewe 100%, ila huo utayari unakujaje? si kwa kusikia maneno kama haya? then linakugusa na unaamua kubadilika?....jus thinking aloud!
 
Kuna mchungaji kabaka huko iringa huyu mbona alimrudia mungu na huwa anaongea nae sana Na karape mwanafunzi,kurumdia mungu ni swala pana ,HATA KUTOFANYA KAZI UNAJUA NI DHAMBI,sababu hutaweza sapot kazi ya Mungu! Nimeshudia walokole wengi ni wachoyo,wavivu,walafi,wanazini kimyakimya (UKIMWANGALIA MWANAMKE KWA KUMTAMANI UMEKWISHA ZINI NAYE)tunaokolewa kwa neema wapendwa unless kama kwa sheria nikazi kuuona ufalme wa Mungu! Na asikiaye afahamu!
 
Lakini neema haiji bali kwa wale waliompokea Yesu kama Bwana na mwokozi wa maisha yao...unalitambua hilo. Ndugu hapo amatuhimiza tumrudie Mungu maana tukimkiri yeye basi ndipo hiyo neema itaweza kutufunika!!!
Pili, usijilinganishe na mchungaji aliyebaka wala asiyebaka..ishi kama wewe! hujui huyo mchungaji yatayompata, au nia ya Mungu katika hilo. He can change worse ssituations for His glory (everything worketh well for those who trust in me!)...muulize mfalme Daudi atakuambia.
Cha maana hapa ni kuikubali neema hii na kuipokea (and not use it for granted..eti, koz kuna neema basi nitatenda dhambi baadaye nitatubu!)
Mungu atusaidie kwanza kumkubali na kupokea katika maisha yetu...mengine yote tutazidishiwa!
Amen...
 
Nakubaliana na wewe 100%, ila huo utayari unakujaje? si kwa kusikia maneno kama haya? then linakugusa na unaamua kubadilika?....jus thinking aloud!

maneno kama haya unatakiwa kuwa nayo kila siku
na Vipi Je kama hujayasikia ..??? unatakiwa usiyasahau..

Mbona wakati wa shida hakuna anaye kukumbusha yote
na sala zote unazifahamu....
 
Kuna mchungaji kabaka huko iringa huyu mbona alimrudia mungu na huwa anaongea nae sana Na karape mwanafunzi,kurumdia mungu ni swala pana ,HATA KUTOFANYA KAZI UNAJUA NI DHAMBI,sababu hutaweza sapot kazi ya Mungu! Nimeshudia walokole wengi ni wachoyo,wavivu,walafi,wanazini kimyakimya (UKIMWANGALIA MWANAMKE KWA KUMTAMANI UMEKWISHA ZINI NAYE)tunaokolewa kwa neema wapendwa unless kama kwa sheria nikazi kuuona ufalme wa Mungu! Na asikiaye afahamu!

wewe usiangalie wachungaji,mtazame Yesu tu,ndipo utaponya roho yako.
 
BUT si wote wanaomngojea Yesu mwokozi wa ulimwengu.Mbona kama umebagua mparee?

balle cjabagua,ukisoma vizuri hiyo sms,imenigusa na mimi ,pia kwa maana bado nipo duniani.wewe kama bado hujamrudia chukua ha2a,huwez jua ya badae
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom