Most university students think dat university is a factory 4 mariage.WHY? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Most university students think dat university is a factory 4 mariage.WHY?

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by mparestina, Jun 8, 2011.

 1. m

  mparestina Member

  #1
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yaana kinachonishangaza, kila unayeongea naye, anasema mwaka wa tatu usiishe kabla cjapata mke/mme, sasa nashindwa kuelewa hv huko mtaan hamna wachumba, au ndio vyuoni kumegeuka kuwa INDUSTRY 4 Mariage?

  Nisaidieni hl wasomi wenzangu.
   
 2. Lutala

  Lutala JF-Expert Member

  #2
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 17, 2010
  Messages: 845
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 35
  Msomi mwenzangu tatizo lako ni nini? Si wao wamechagua ufikapo mwaka wa 3 wanafunga ndoa. Wataona mziki wake wakati huo wanatafuta kazi
   
 3. m

  mwabaluhi JF-Expert Member

  #3
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 16, 2010
  Messages: 561
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Maisha hayana formula mdogo wangu. So hao wanaosema "lazima mwaka wa tatu blah blah blah" nadhani wanalazimisha yawe na formula
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,613
  Likes Received: 419,787
  Trophy Points: 280
  Tunahitaji takwimu za walioowa na kuolewa 3rd year.

  Vinginevyo hayo ni ya mtaani tu.
   
 5. Gaga

  Gaga JF-Expert Member

  #5
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 4,565
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 135
  Vifupisho vyenu bwana, mnamaliza stimu kabisa
   
 6. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #6
  Jun 8, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 135
  Kwa wanawake sawa, hao wanaume, ambao hata kazi hawana nao wanasema hayo? jana kulikwua na thread inayosema kwa nini wanaume wanachelewa/wanasita sana kuoa! Inapingana kabisa na hili!

  Jambo la msingi, kabla hujafikiria ndoa, kuna mambo ya muhimu lazima yatimie, ikiwa na pamoja na kupata mchumba mwenyewe....

  believe it or not, University life is fully of fantasy.... njooni mitaani mtaona reality.....
   
 7. Mvua Ya Kiangaz

  Mvua Ya Kiangaz JF-Expert Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: May 24, 2011
  Messages: 305
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 33
  Dictum sapient sat est.............
   
 8. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 30
  Trophy Points: 145
  No comment,
  niko 3rd yr, natafta mke! Afta ol nina kaz and my age count!!
   
 9. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,496
  Likes Received: 19,892
  Trophy Points: 280
  kila mtu atatoka kivyake kama ulipata tabu wakati wa kutafuta kazi usidhani kuwa kila mtu lazima apitie njia ambazo umepitia wewe
  kila shetania na mbuyu wake
   
 10. Mulama

  Mulama JF-Expert Member

  #10
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 2,458
  Likes Received: 710
  Trophy Points: 280
  Hao wanaosema hayo wana muda wa kuyasema, kama wangekuwa wanabanwa na masomo sidhani kama wana muda wa kutafuuta wachumba, and I guess si faculty zote zenye wawazao ndoa mwisho wa course!
   
 11. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #11
  Jun 8, 2011
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Mwaka wa 3 awe na mke/mme ama awe na Mchumba?
   
 12. MAENE

  MAENE Senior Member

  #12
  Jun 8, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 118
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33

  Ni kweli tunatofautiana wengine huwa wanapata mapema sana kazi.ukimaliza chuo na ukapata kazi haraka shukuru sana.
   
 13. Rweye

  Rweye JF-Expert Member

  #13
  Jun 8, 2011
  Joined: Mar 16, 2011
  Messages: 15,058
  Likes Received: 3,085
  Trophy Points: 280
  Ukubwa dawa!!maisha ya kichina,ya kuchonga,ya bandia,maisha artificial ndo maisha ya uanafunzi pale "at the hill",full of illusions!

  Ndugu zetu,huku mtaani ndo kuna shule ya maisha halisi,na kuzingatia hali ya maisha ilivyo na ugumu wa soko la ajira huku mtaani yawezekana waliowatangulia walioa/kuolewa hapo chuoni lakini hili kwa sasa si ideal tena,specially to men,unless otherwise you belong to bourgeoisie class! Ni sisi,ndugu zenu,wasomi wenzenu!
   
 14. Eiyer

  Eiyer JF-Expert Member

  #14
  Jun 8, 2011
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 28,238
  Likes Received: 3,676
  Trophy Points: 280
  Matatizo mengine ya vijana!Mara nyingi hili ni tatizo kubwa sana!
   
 15. s.fm

  s.fm JF-Expert Member

  #15
  Jun 8, 2011
  Joined: Jul 8, 2009
  Messages: 669
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  ninawaswasi na hizi data!!
   
 16. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #16
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sharo baro at work
   
 17. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #17
  Jun 8, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,280
  Likes Received: 1,720
  Trophy Points: 280
  I personally don't see any problem. Na naungana na vijana wenye mtazamo huo. Kwani hiyo ndio age ya kujenga serious relationship. Maisha si ya kufanya one thing at a time. Eti nimalize shule, nitafute kazi, nijenge ndio nioe. Nani kasema. Ninawajua wengi waliooana soon baada ya kumaliza shule na maisha yao ni more than supper kwani wameanza maisha pamoja na mtaji wao ni elimu. Mwaweza oana msizae mpaka mtakapopata kazi.

  Wasichana (hata wavulana) wengi ambao wanakosa kuwa na serious partner mpaka wanamaliza chuo wanapata tabu sana kupata right candidate kwani kitaani ni ngumu kujua tabia ya mtu.

  Ndio pale unaposikia fulani kaoa/ kaolewa kila mtu anashika kichwa nani kauvaa mkenge. Watu wenye tabia mbaya ni rahisi kuolewa na wasiowajua. Kwa hiyo vyuoni ni sehemu nzuri ya kupata partner. Na kitaani ni sehemu ambayo si rahisi kujua tabia ya unayemuoa.
   
 18. Jimbi

  Jimbi JF-Expert Member

  #18
  Jun 8, 2011
  Joined: Aug 16, 2010
  Messages: 871
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  umefanya utafiti kama msomi? ama umeamua kukurupuka tu
   
 19. d

  designer spenko Member

  #19
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  chuo ni step ya kwanza ya kuwa huru kwenye maisha kutoka kwenya khali ya kubanwa na kuwa huru pia chuo ni sehemu ambayo inafungua picha mpya katika mahusiano sababu ukaribu unakuwa wa hali ya juu n levl ya mapenzi inapanda so m2 anaona ni sehemu ya kupata mahusiano imara ambayo yanaleta ndoa
   
 20. C

  Caroline Danzi JF-Expert Member

  #20
  Jun 8, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 3,629
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  siongei sana, ombeeni mawazo yenu kabla ya kuyaweka wazi. You still have al ong way to go my dear friends, ndoa si mchezo kama vile manyofikiri. Unahitaji mtaji mkubwa wa hekima/heshima na kuwekeza kwenye mambi ili upate right candidate.

  Wenye nia njema nawatakia kila kheri!
   
Loading...