Kuamka kwa Uislamu Tanzania kielimu na kimaendeleo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kuamka kwa Uislamu Tanzania kielimu na kimaendeleo

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by GHANI, Jun 7, 2011.

 1. G

  GHANI JF-Expert Member

  #1
  Jun 7, 2011
  Joined: Feb 18, 2011
  Messages: 685
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  Ndugu waislamu,sasa nimeona tumeanza kuamka kielimu na kiutambuzi, sasa tuna vyuo vikuu vitatu vya kiislamu na lengo letu ifikapo mwaka 2016 tutakuo na vyuo vikuu 13 kuna viwanja vimeshaanza ujenzi, pia hata mahospitali yanaongezeka sana, vituo vya radio na television, pia maofisini waislamu wamejaa tofauti na miaka ya nyuma tulipokua hatujaamka, tukazane kujiendeleza kwa bidii kielimu kuachana na mambo ya makafiri, pamoja na kumuamini Allah(S.W) na mtume (S.AW) inshaalah.
   
 2. u

  umtwale Member

  #2
  Jun 7, 2011
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mim ni muislam, lakin namashaka na akili yako. hapa ndo umeona muafaka kuleta mjadala huu kwa upeo wako?
   
 3. M

  MPG JF-Expert Member

  #3
  Jun 7, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Akili zako wewe bwana nindogo umeona hii ndiyo habari ya kuleta humu mbona unatukashifu waislamu wenzako,KULU NAFS DHAI KATUR MAUT
   
 4. Blessingme

  Blessingme JF-Expert Member

  #4
  Jun 7, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 250
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Huu udini utaisha lin?
   
 5. Chief-Mkwawa

  Chief-Mkwawa Platinum Member

  #5
  Jun 7, 2011
  Joined: May 25, 2011
  Messages: 17,768
  Likes Received: 7,076
  Trophy Points: 280
  huyu hawezi kua ni muislamu that why hata data zake hazipo correct. I think ni adui wa uislamu anetaka kuchafua dini
   
 6. m

  mmakonde JF-Expert Member

  #6
  Jun 7, 2011
  Joined: Dec 26, 2009
  Messages: 967
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Hela za Wasaud,zitatutokea kichwani siku moja.
   
 7. m

  mparestina Member

  #7
  Jun 8, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 10
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hili tatizo sijui litaisha ln,2muombe Mungu a2saidie.maana hakuna k2 kinapoteza maendeleo kama itikadi za dini.alafu mada kama hz hazifai kuwekwa kwenye jopo la wasomi namna hii.2we makin sana.
   
 8. Ngongo

  Ngongo JF-Expert Member

  #8
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 20, 2008
  Messages: 12,155
  Likes Received: 3,632
  Trophy Points: 280
  Duh hii hatari kubwa vyuo vitatu mbona sivijui zaidi ya Morogoro ?.
   
 9. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #9
  Jun 8, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Kama tumeanza kuamka kwenye elimu angalau
   
Loading...