Recent content by mparestina mweusi

  1. mparestina mweusi

    Zitto ataka hatua kali zichukuliwe dhidi ya askari polisi aliyemtishia bunduki Malima

    Huyo askari apimwe akili sidhani kama ni mzima unapiga risasi hewani kwa mtu alieweka mikono mfukoni kulikuwa na ulazima gani kupiga risasi ? Kweli askari ni JW tu hawa polis ni raia wakakamavu !!
  2. mparestina mweusi

    Rais Magufuli, CDF mpelekeni Tundu Lissu mahakama ya kijeshi - court Marshall

    Kwani Tundu Lisu kakashifu ?? Au kakosoa ? Mijitu mingine ni ma-k- kabisa kwani kukosoa kitu au mtu ni kosa ? Watu wanamkosoa hata mtume na manabii sembuse jeshi ??kwani unafikiri Rais ana akili mgando kama zako ? Pale hamna kosa ndo maana haimsumbui kichwa ni mtu katoa mawazo yake sasa we...
  3. mparestina mweusi

    Na sisi fagio linakuja la vyeti?

    Aisee kauka usimkumbushe mkulu kwa hilo maana utashangaa mtu unatumia cheti cha marehemu !! Chezea John [emoji481] [emoji481] [emoji359] [emoji359] veve hashindwi !!
  4. mparestina mweusi

    Diamond Platnumz adaiwa kodi Sh. Milioni 400 na TRA

    Ulijua utabebwa na hao maccm ! Tuliwasikitikia sana wasanii wakati ule wa kampeni mkatokwa povu kukashifu upinzani mnawabeba watu wasiowathamini mtanyooka endeleeni kuisoma namba ! Kudadadeki !!
  5. mparestina mweusi

    Tetesi: Sakata la vyeti feki latua Polisi

    Ndio ana cheti feki tulimjua maana jina lake la halali tunalijua alisoma na mdogo wangu ila kwa sasa tunashangaa anatumia jina lingine feki maana wakati sakata la vyeti limeanza amekuwa mpole anamwamkia kila mtu wakati alikuwa kama nyoka akikukamata utakoma !! Kwa hili Magu nampa tano !! Heshima...
  6. mparestina mweusi

    Tetesi: Sakata la vyeti feki latua Polisi

    Duh kuna afande mmoja namjua yupo pale moshi ngoja nimsubiri mtaani yaani ni kiherehere balaa anakamata watu ovyo kwa kosa la kubambikwa !! Magu oyeeee
  7. mparestina mweusi

    Rambirambi zinazotolewa kwa wafiwa Arusha ziwafikie walengwa

    Naogopa kuchangia maana utasikia serikali haijaleta ajali hela zikajenge mabarabara na kununua ndege !!
  8. mparestina mweusi

    Zoezi la vyeti fake na vyombo vya usalama

    Nao watumbuliwe wenye vyeti feki ! Kwanza ukiangalia hao wenye vyeti feki hasa polisi ndo wanaongoza kubambikiza raia kesi za uongo na wananyanyasa watu sana ! Mtu aliesoma kwa jina lake kihalali huwa hawana tabia za kishenzi kama hao mafeki feki nashauri wakaguliwe ila Mkulu ni muoga sana najua...
  9. mparestina mweusi

    Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkuu wa Jeshi la Polisi(IGP) nani ana cheo kikubwa?

    Pia JWTZ ndo jeshi letu la wananchi ila polisi sio jeshi ni RAIA WAKAKAMAVU TU ndo maana hawajui hata kumkamata raia asie na silaha wao ni kupiga tu sasa sio jeshi lile ni kama jambazi au mwizi wa alieruhusiwa kuumiza raia Pia mafunzo yao miezi 6 tu wakati jeshi ni zaid ya miaka huwezi...
  10. mparestina mweusi

    Edward Lowassa amekata tamaa na siasa za CHADEMA

    Pamoja na Lowasa kukaa kimya mbona ccm wanaendelea kuweweseka kila kikao cha ccm jina la lowasa linatajwa ? Hata we mleta mada na wewe chupi inakubana ukifikiria jina la Lowasa poleni sana !
  11. mparestina mweusi

    Ikulu: Rais Magufuli apokea ujumbe kutoka kwa Kagame. Akubali kupeleka Rwanda walimu wa Kiswahili

    Jamani nasikia aibu sana kweli JK alishasema akili za kuambiwa changanya na zako ! Hivi tutakuwa tunawabeba wenzetu hadi lini hapa sisi tuna walimu wa kiswahili wa kutosha kweli? au tuna madaktari wa kutosha kweli ? Kwa nini asiajiri anabaki kugawa kwa nchi jirani Yaani kila nchi ikiomba kitu...
  12. mparestina mweusi

    Maneno ya Nape kuhusu uvamizi wa CUF Jana

    Nape nilimchukia toka kampeni ya mwaka 2015 alikuwa na siasa za maji taka kabisa alikuwa anatukana na kuongea vitu vya uongo kwa wenzake wa upinzani sasa leo yamemkuta anataka kujikosha hapa ! Kakosa uwaziri anajidai msafi Rais alimjua akamvutia kasi kosa moja nje ya geti kudadadeki atatoka povu...
  13. mparestina mweusi

    Punyeto ni nini na nini madhara yake?

    Punyeto naipenda kwa sababu punyeto inakufanya uchague demu wa aina gani unataka upige 1- Demu mnato sana unabana mkono ulioshika uum... 2-Demu bwawa unapanua mkono 3-Demu bikira hapo ndo hukawii kutema maji ya uzima maana unabana mkono hadi unakaribia kuchukua ngozi 4-Haihitaji kuhonga ni...
Back
Top Bottom