Omulasil
JF-Expert Member
- May 5, 2015
- 7,556
- 9,625
Inasikitisha sana pale watu wengine walisota kusoma hata kudiriki kuweka miguu yao kwenye maji, ili wafanye vizuri ktk masomo yao, huku wengine wakipita njia ya mkato na kugushi.
Lakini upande wa pili wa shilingi ni kuwa hawa waliogushi wamepiga kazi miaka yote huenda wasionyesha mapungufu kwenye majukumu waliopewa, inaniletea hisia kuwa huenda walifeli nadhari wakafaulu walipopewa muda waonyeshe vitendo.
OMBI LANGU hili sakata lisihusishe vyombo vyetu vya usalama, maana hawa baadae walifundishwa vitendo vya kutumia mbinu ambazo huenda nadhari za shule hazikukidhi mfano haiitaji ujuzi wa fizikia wa mwendo kasi ya risasi kutungua aliye mbele, wala ujuzi huo kuwa snipper bora, ni swala na kuminya jicho na vitendo vingine
Pia kama hawa wakikumbwa na zoezi hilo ina maana tutakuwa na snipper wengi mtaani je patakalika?
Chonde chonde hawa wameiva acha watumikie nchi