Tumieni basi akili? Wanyoroshane wakati tutakao umia ni sisi?
Bei ya petrol ikipanda kila kitu kitapanda huku mshahara wako ukipungua dhamani
Kama ulikuwa unalipwa shs 500,000; Petrol ikipanda bei, dhamani ya mshahara wako yaweza kuwa shs 380,000.
Utakuwa unaipwa laki tano ila utafanya manunuzi...
Kwa mtu mwenye ufaulu wa hesabu kwa angalau kiwango cha D hawezi kushiri maandamano ya Dec 9, kwani kwa hesabu ndogo ya probability....huwezi kuingia kwenye vita ambayo kwa takribani 89% inaonesha tayari umeshindwa. Hayo ni matumizi mabaya ya Hesabu!
Yaani unajiita Genius halafu unawatuma wenzako wakamkate Simba kwa mikono kwa kuwaaminisha kuwa wapo salama? huna tofauti na kibwetere aliye wadanganya wafuasi wake wakaishia kupoteza maisha.
Akili za kuambiwa, changanya na za kwako!!!
Sina hakika kama unafaham kazi za estrogen, testosterone, and oxytocin katika mwili wa mwanamke na ujue kila mwanamke ana ratio yake tofauti na mwingine. Kwa kukusaidia tu; Wanawake takribani 20% wapo very active (hao unaosema), waliobaki kama 50% wapo standard wanahitaji kuandaliwa kawaida na...
Kuna weza kuwa na sababu nyingi
1. Humuandai anakuwa mkavu hivyo anachubuka
2. Unacheza rafu- wale wanaotwanga kama mahindi kwa nusu saa na zaidi- anachubuka
3. Kama ana maambukizi ni sababu pia ILA yaweza kuwa sio kwani angepata maumivu ya kiuno nk
4. Akiwa na vivimbe kwenye njia ya uzazi pia...
Hivi Unajua Egypt ni moja ya Nchi iliyokuwa na watu wenye IQ kubwa duniani. Unaweza kufuatilia mambo mengi mojawapo ni Hesabu. Namaanisha wao ndio waanzilishi wa Hesabu mbalimbali na baadhi ya formula za physics na matibabu (biology)- sema tu wazungu hawawezi kuandika hili kwa kuwa ipo Africa...
Pole sana kiongozi; umbali kutoka barabarani ni meta 30 kila upande. Wanasema kwa aliyejenga barabara ikiwepo halipwi; hivyo anayelipwa ni aliyejenga kabla ya uwepo wa barabara
Japo kwa maeneo ya mijini na manispaa; wanashauri kwenda kuomba kibali kabla ya kujenga ili uambiwe kama unapojenga...
Hiyo inawezekana kutokana na aina ya mke uliye naye...
kama anaexposure au ni mtu wa mitandao, sawa ila kama ni wale wa ndio mzee...ni ngumu sana kufaniliwa
Kwa mujibu wa hiyo picha, naona kama lami imepita hapo, kama meta 3 kutoka kwenye Jengo; Kama ni kweli; huo ukaribu na Lami ndio umefanya uambiwe upeleke Kibali kwa kuwa hairuhusiwi...UMEJENGA ENEO LA BARABARA. Huo umbali unaruhusiwa Mjini kati pekee tena kwa kibali maalum;
Nje ya Mji kama...
" Yaani una amini kabisa kuwa, wanadamu WALIMKOSEA MUNGU, halafu wakampiga Mungu hadi AKAFARIKI, ili awasamehe???" Jamani jamani, tutumieni akili aliyotupa Mungu Bure!
Yesu alishatuonya; WATU WANGU WATAKUJA KUANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA!
Hivi Jamani kwa akili ya kawaida aliyotupa Mungu muweza ya yote bure
Mungu anaweza kweli Kulala usingizi, Kula msosi, kwenda chooni,nk Kukesha usiku kucha anamlilia Mungu?
Yesu alisha tuonya; WATU WANGU WATAKUJA KUANGAMIA KWA KUKOSA MAARIFA!!!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.