Recent content by Mpanda hill

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wanaume waliojipata kimaisha. Kitu gani kinafanya sisi wengine tuchelewe kufanikiwa? Tunaomba ushauri wako

    Maisha ni safari ndefu, mafanikio ya mtu hufuata historia ya familia yenyewe, Jina lako la kwanza,viwango vya elimu, vyeo kazini,maeneo ya asili unayotoka, yenye madini, utalii,misitu ya mbao, maziwa/ bahari /mashamba makubwa ya umwgiliaji, biashara , nk cha msingi ni kubana matumizi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mshikaji niliyeajiriwa naye pamoja amenipa hasira sana wakuu

    Elimu haina mwisho, mshukuru ndugu yako kukupa ushauri mzuri, mwamba kakupa mshipi na ndoano, ukavue samaki. Maana pesa sasa haitafutwi PESA INATEGWA !
  3. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Nailengesha Toyota Harrier - TSH 18,500,000/=

    Ukiona watu wengi wanamiliki Harrier, tambua ni gari imara kwa mazingira ya Tanzania, engine ya harrier ndio ya Kruger. Harrier Ni moja ya gari bora hapa Tz tangu matoleo ya mwanzo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Car4Sale Land Cruiser Banzi for sale

    Iko wapi mkuu,
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mwanaume hujaribiwa na Shetani akiwa na hela

    Mwanmke ana milango 6 ya ufahamu na mwanaume anayo milango 5 ya ufahamu,je huu mlango 1 wanaume tuliiupoteza wapi?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Inawezekana Shule ya Serikali Kukopa Kutoka Benki? Taratibu zipoje?

    Wazo la kuchangisha wazazi,wadau,vyama vya ushirika nk ni wazo zuri sana! Tuko tayari kuchangia Harusi kila mwaka na Maendeleo ya shule wa Tanzania tuko tayari kuchangia wakati wowote.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Kwa mara ya kwanza na-report Mzumbe university first year nilikua disappointed sana na mazingira

    Mzumbe ni chuo kizuri sana, nilifika hapo kwenye mahafali 24/11/2024 changamoto ni za kawaida, Ambazo ziko vyuoni na tasisi zingine, wengine walitamani kuingia hapo, lakini nafasi zimejaa, Kazana na masomo kijana,
  8. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Mzee David Cleopa Msuya afariki Dunia akipatiwa matibabu hospitali ya Mzena

    Poleni wana familia, wana Mwanga, na waTanzania wote. Msuya mchapa kazi, m wana ushirika, tuyaenzi Mambo mengi mazuri aliyotuachia
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mazda CX 5 inanifilisi!

    Mwana jamii mwenzetu ,Connections amepata changamoto ya gari yake Mazda, tumpe maneno ya faraja , pia kata b ima kubwa ( Complihensive) ili ikulinde kwenye majanga haya
  10. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba agoma kumuozesha mwane kwa mahari ya laki tatu kisa ana degree

    Wastani mahari ng'ombe wanne , au 2,000,000/ lipa 1.400,000/ Deni 600,000/ mahari hatumalizi.
  11. M

    JamiiForums Tanzania TANZIA Profesa Philemon Sarungi afariki Dunia

    Poleni familia ya professor Sarungi
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Rasmi: I want to Say Good bye to All JF people

    Tunakutakia maisha marefu yenye furaha na Amani,
  13. M

    JamiiForums Tanzania Usikope ili ulipe ada za watoto

    Tu nampongeza sana huyo mama kwa kusomesha watoto wake Hadi wamemaliza vyuo vikuu, alipambana sana kwa mikopo Hadi malengo yametimia iko siku Mungu atawainua hawa watoto watapata kazi, ama kujiajiri.
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mwili wa marehemu Tabia Mwanjelwa wawasili Dar, mazishi kufanyika kesho Kiwira, Mbeya

    Poleni wana familia,ndugu jamaa na ma rafiki na wana kiwira kwa msiba huu, RIP Tabia Mwanjelwa . Bwana alitoa na Bwana ametwaa jina lake lihidimiwe Amen
  15. M

    JamiiForums Tanzania Ajali ya Kimara Stop Over kumbe kaka yangu naye alikuwepo!

    Pole sana mwana Jami forums mwenzetu, poleni na msiba, Mungu awape moyo wa faraja ktk kipindi hiki cha msiba.
Back
Top Bottom