Nafurahii wana jf wenzangu kwa ushirikiano huu tulioufanikisha sio katika kuwapigia kura Wasanii hawa Ganga njaaa Wa CCM at a hapa nafurahii kuona tunavopeana ushirikiano acha waisome namba pumba
Na Mimi pia ni Mmoja wapo waliofurahi Wasanii Wa Tanzania kukosa hizo Tuzo ADUI Wa msanii nchii hiii ni CCM tu sio mwingine Mimi Binafsi hizo Tuzo mfano wangekuwepo wakina ROMA, KALA, Ney Wa mitego ningeshinda mtandaoni kuwapa saport lakini hao Team CCM muda huo sins labda CLOUDS Ndio...
Kovu la uchaguzi litazidi kuwaumiza Wasanii Team CCM Hatimiliki ya Albam mpaka Leo kwako ni ndoto harafu unataka ujilinganishe na WIZ KID wajiulize mbona miaka iliyopita DiAMOND alipata tuzo japo kulikuwepo na hizo team ni naungana na Zanzibar ASP
Uchaguzi Wa 2015 unazidi kuwatesa Wasanii Wa TeamCCM haingiii AKILINI mpaka Leo msanii Wa Tanzania Albam kwake sio ishu kutokana na serikali ya CCM kushindwa kuwapa atimiliki wasanii na Bado Mpaka siku watakapojitambua Ndio Tatizo hili la Mateam litaishaaaa
Ushawai kujiuliza kwa nini?Yale makabila ambayo nyerere alikuwa anayachukia Leo hii wapinzani wamechukua nafasi nyerere mfumo wake umefeli na ndio mpaka Leo unalitesa Taifa hill
Namshukuru Mungu sijazaliwa na Baba ambaye ni KADA Wa chama cha mapinduzi Maana watoto Wa Makada wengi niliosoma nap ata kama ana AKILI za Darasani lakini upeo wao Wa kuchambua Mambo Mdogo sana na hawajui mambo mengi
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.