Vijana wa Arusha waliopinga UKUTA ni feki

Vijana wa Arusha waliopinga UKUTA ni feki

olunde

Member
Joined
Aug 31, 2016
Posts
35
Reaction score
49
Vijana walioneshwa na kusikika kwenye vyombo mbalimbali vya habari jana wakipinga UKUTA tokea Arusha ni feki na waliandaliwa na CCM.
Ukweli ni kwamba propaganda za CCM tumeshazowea hata kipindi cha uchaguzi waliwapa vijana hadi tisheti za chadema ili waandamane kupinga ujio wa Lowasa na kumtetea Slaa.Vijana wengi wa Kitanzania sasa hivi wanajielewa.Arusha kwenyewe CCM walipata kata moja tu sasa leo hii wanawakusanya wanachama wao wachache wana wahoji kwamba eti ni watu wa Arusha. Propaganda feki hizo siku hizi tunajua sana, mbadili style nyingine.AIBU SANA

Ni aibu CCM kuwa waigizaji wa kisiasa na kuwakodisha wanachama wao na kuwahoji na hiyo ndio kazi inayofanywa na TBC CCM,Star tv ccm,Uhuru ccm nk.Wanawatembelea WananCCM wakiwa wamesha andaliwa sehemu maalum halafu wanahojiwa, kinachofata hapo ni hitimisho kwamba Wananchi wa Arusha au eneo fulani wamesema hivi.

Siasa uchwara ndio hivyo.Mfano yule Katibu wa CDM Mwanza alisimamishwa Kazi, Lkn CCM wanaikuza ili wananchi wengine washawishike kuiamini CCM.Wanao amini CCM wengi ni wanafiki,Waongo,Wasaliti nk, Siwezi nikaiamini CCM hadi nife na ukifa Ukiwa CCM ni dhambi kubwa sana kwasbb unakufa ukiwa mwongo,mwoga,mnafiki na mwenye kila aina ya uovu, mfano viongozi wengine wa CCM ni wanyang'anyi,wanyanyasaji,waporaji,wauaji.

Baada ya kumaliza maigizo ya Polisi ccm,Wasanii njaa CCM,Wanawake CCM,Vyama vya upinzani CCM(UDP,TLP nk),Mwanasheria mkuu CCM nk sasa hivi wamekuja na ile ya kutembelea mikoa,,jana walifanya Arusha siku si nyingi wataonesha Mbeya au Dar
CCM ACHENI UBABAISHAJI,MSIWALAZIMISHE WATU KUIPENDA SERIKALI.
 
Namshukuru Mungu sijazaliwa na Baba ambaye ni KADA Wa chama cha mapinduzi Maana watoto Wa Makada wengi niliosoma nap ata kama ana AKILI za Darasani lakini upeo wao Wa kuchambua Mambo Mdogo sana na hawajui mambo mengi
 
Ukiwa mwanachama wa CCM lazima uwe mnafiki, muongo, mpuuzi, Mjinga na mshirikina. Wengi wao wanauwezo mdogo sana wa kufikiri, kuhoji, kudodosa hata kama una PhD ukishakuwa mwana CCM dhambi ya uongo na unafiki lazima ikuandame. Wametanguliza matumbo na njaa kuliko uzalendo. Utawaona hapa watakavyokuja na mapovu.
 
tehe tehe tehe eti TLP nayo ina kadi ya CCM no.733100 wkati mwenyekiti hana
 
Kuna watu wanajitekenya na kucheka wenyewe
 
Back
Top Bottom