Recent content by Mpaki

  1. M

    Duu hi shule noumaaa

    Humu kuna wachezaji wa mpira wa miguu
  2. M

    Duu hi shule noumaaa

    Wahudumu classic secondary school
  3. M

    Naomba msaada wenu wadau!!!

    Mi ni mvulana wa miaka 28, Niko single ninatatizo linanisumbua sana na kunifanya nikose amani pindi nikiwapo na faragha, uume wangu huwa unasumbua sana kusimama kila niapofanya mapenzi kwa round ya pili na kuendelea hii huwa inatokea sana kwa mwanamke niliyemzoea ILA nikifanya kwa Mwanamke mpya...
  4. M

    Methali mpya

    Askari Kanzu 13:31 3rd November 2011 Wasiojua mtandao ndio waliwao Na hii ni methari mpya?
  5. M

    Mmeona angan dar muda huu ndege nne za kijeshi zinapita kwa kasi

    Jamani wadau hili ni zoezi linaloendele la Maadhimisho ya miaka 50 ya uhuru, kwahiyo msishtuke wanaJF
  6. M

    Mbunge huyu anatafuta nini?

    Mhe, MWANJELWA ukitaka jimbo gombea tutakupa mbona hata BUNGENI tunakusikia wewe unavyo isemea mbeya na wilaya zake. na hii ni kutokana na Mbunge wa Mbeya mjini kushabikia miziki na Clous FM hadi akaswekwa ndani na hakuna aliye mtetea kwani hatukumtuma kufanya hivyo.
  7. M

    Mbunge huyu anatafuta nini?

    Kandoro mwenyewe kapigiwa debe, ataweza kumpigia debe mtu?
  8. M

    Mbunge huyu anatafuta nini?

    kaza buti DADA wana Mbeya tuna IMANI na wewe, hao wanao kuponda ni watu wasio na mapenzi mema na Mbeya yetu. <br>BIG UP sana
  9. M

    Mbunge huyu anatafuta nini?

    Ivi chanzo cha hii habari nin nini? au kuna mwana habari aliachwa kwenye msafara? semeni labda aliona hauna taaluma zaidi ya umbea.
  10. M

    Mbunge huyu anatafuta nini?

    Mwanjelwa dedication song to you ni songa mbele wa christina shushu.
  11. M

    Mbunge huyu anatafuta nini?

    Mavuvu zela yameanzaaaaaaaaaa dada nenda nao hao hadi wataona. Big up sana
  12. M

    Mbunge huyu anatafuta nini?

    kaza buti DADA wana Mbeya tuna IMANI na wewe, hao wanao kuponda ni watu wasio na mapenzi mema na Mbeya yetu. BIG UP sana
  13. M

    Mbunge huyu anatafuta nini?

    Huyu dada angelitaka jimbo angeisha lichukua kitambo sana, kwani huyu Mrembo ndiye anaye kubalika hapa MJINI.
  14. M

    Mbunge huyu anatafuta nini?

    Dada kaza buti usirudi nyuma haya ndio mavuvuzela hayataki Mbeya tuendelee BIG UY DADA
  15. M

    Mbunge huyu anatafuta nini?

    Mhe Mwanjelwa kaza buti. mti wenye matunda ndio unao bondwa mawe. ivi asnaye tumia media ni huyu huyu tu, magazeti yote yanajaa habari zake? achani MAJUNGU
Back
Top Bottom