Recent content by Mpagaze

  1. M

    Wanaume mapacha waamua kuoa wanawake mapacha kwa siku moja!!!!

    Hiyo ndoto mie na kurwa wangu tunazeeka nayo... Hongera zao!
  2. M

    Wazazi wa mke wangu wamehamia kwangu kabisa, nyumbani hakukaliki

    Siku moja jipe wehu. Ukitoka bafuni na taulo, ukiona wamekaa barazani wametulia, jiinamishe kisha dondosha taulo! Likidondoka jifanye umepagawa kwa kuficha sura na mikono huku ukiwaachia mjengo wautazame. Wataondoka tu. Umeoa mke sio wakwe!
  3. M

    Wazazi wa mke wangu wamehamia kwangu kabisa, nyumbani hakukaliki

    Pole sana kaka maana umeoa mke na wakwe! Huna hata faragha! Huna uhuru! Hata haki za binadamu haziruhusu upuuzi kama huo. Ili isionekane kuwa wewe ndiye uliyeolewa, hama nyumbani kwako bila taarifa kuwa uko wapi kwa kipindi fulani. Ukiweza, nenda kwa huyo rafiki yako wa kitambo lakini usikubali...
  4. M

    Mke wangu ana kadi mbili za kliniki, moja jina langu, lingine la bwana mwingine!

    Ndugu mwanajamvi pole sana na maswahibu yote yaliyokukuta. Kwanza nikupongeze kwa hatua stahiki uliyoichukua. Umetumia busara ya hali ya juu. Ni kweli kuwa matatizo kaumbiwa mwanadamu. Mimi binafsi ninao mtazamo mdogo unaoweza kurejesha heshima ya ndoa na faragha yako. Naomba ukipenda na kuweza...
  5. M

    Yamenifika sijui nichukue uhamuzi gan msaada wa mawazo ninaitaji

    Si unajua mkeo kisha mvulia ya ndani, usitegemee kirahisi tu kuwa ataacha kuivua iwapo jamaa ataikumbuka..."maji moto huwa hayasahau baridi" hivyo mke mmoja anamegwa na vidume viwili (wewe na jamaa yako). Jiongeze, hakuna mke hapo ila mnafuga chombo cha starehe.
  6. M

    Yamenifika sijui nichukue uhamuzi gan msaada wa mawazo ninaitaji

    Tulia, kapime DNA na majibu yatathibitisha mmiliki halali wa mtoto. Na kwa kuwa mkeo kawa mkweli kukwambia kuwa alimegwa na kidume hicho wakati haupo, suala la kuishi ama kutokuishi naye lipo mikononi mwako. Jaribu kuuliza moyo wako unataka nini...akiomba radhi msamehe, na ukishindwa kusamehe...
  7. M

    Professor Mkumbo na siasa za hovyo

    Kumshutumu mtu bila kuihoji kauli yake ni sawa na kupoteza muda...ikumbuke kuwa kila mmoja huwa na upekee katika kuwasilisha jambo na maana ya mzungumzaji hutofautiana na ya msikilizaji (implication). Ubaya na uzuri wa mtu upo kwa adhaniye. Kilicho kubaya kwa bwana A ndicho huwa kizuri kwa bibi...
  8. M

    ZITTO,mwenyekiti wa kamati ya bunge PAC alivuta hela za IPTL,asisome ripoti bungeni

    "Mti wenye matunda ndio unaopigwa nawe siku zote!" Njama nyingi sana zimefanyika kudhoofisha ishu ya #Escrow ikiwa ni pamoja na kutengeneza doc fake kama hiyo. Kwa yeyote mwenye akili, akiisoma hiyo doc, pamoja na mambo mengine, yafuatayo yanadhihirisha propaganda za kitoto: 1. Sijawahi kuona...
  9. M

    Hi JF Members

    Hehehehehehe asante mwenye jamvi
  10. M

    Hi JF Members

    Karibu sana jamvini...angalau umekuwa na busara. Sisi wengine tuliingia tu bila hodi-umetugunza kitu
  11. M

    TANZIA Sharo Millionea afariki dunia

    RIP Sharo Mil...
Back
Top Bottom