Recent content by mozy mogy

  1. mozy mogy

    JamiiForums Tanzania Center of sports watching

    Sikuwahi jua ili nitafatilia asante kaka.
  2. mozy mogy

    JamiiForums Tanzania Center of sports watching

    Kweli nami najitahidi kujivuta sana,sema ata connection ya kupata shughuli mtiani sana tunaishi kwenye ramani ya u kibarua wa siku moja kesho uielewi.
  3. mozy mogy

    JamiiForums Tanzania Center of sports watching

    Asante kaka
  4. mozy mogy

    JamiiForums Tanzania Center of sports watching

    Habari Za Miangaiko Wakuu,Mi Kijana Kutoka Dodoma Niko Na Plan Ya Kufungua Banda La Kuoneshea Mpira Na Michezo Ingine Eneo lipo lakueka ilo banda ambalo litaweza kuchukua watu 150+ nimekuwa nazunguka kutafuta mtu wakuniwezesha kukamirisha hi plan yangu bado sikufanikiwa Na kwa maeneo nilipo...
  5. mozy mogy

    JamiiForums Tanzania Ajira zimekuwa ngumu

    P𝚘𝚕𝚎𝚗𝚒 𝚗𝚊 𝚖𝚒𝚊𝚗𝚐𝚊𝚒𝚔𝚘 𝚠𝚘𝚝𝚎 𝚠𝚊𝚑𝚊𝚗𝚐𝚊 𝚠𝚊 𝚊𝚓𝚒𝚛𝚊 𝚗𝚊 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚘𝚓𝚒𝚝𝚘𝚕𝚎𝚊 𝚔𝚞𝚜𝚊𝚒𝚍𝚒𝚊 𝚠𝚊𝚜𝚒𝚘 𝚗𝚊 𝚊𝚓𝚒𝚛𝚊 𝚠𝚊𝚠𝚎𝚣𝚎 𝚔𝚞𝚙𝚊𝚝𝚊 𝚌𝚑𝚘𝚌𝚑𝚘𝚝𝚎 𝚔𝚠𝚊𝚔𝚠𝚎𝚕𝚒 𝚞𝚙𝚊𝚝𝚒𝚔𝚊𝚗𝚊𝚓𝚒 𝚠𝚊 𝚔𝚊𝚣𝚒 𝚗𝚒 𝚗𝚐𝚞𝚖𝚞 K𝚠𝚊𝚜𝚒𝚎 𝚝𝚞𝚜𝚒𝚘 𝚗𝚊 𝚟𝚢𝚎𝚝𝚒 𝚟𝚒𝚣𝚒𝚝𝚘 𝚊𝚞 𝚝𝚠𝚎𝚗𝚢𝚎 𝚎𝚕𝚒𝚖𝚞 𝚢𝚊 𝚔𝚒𝚍𝚊𝚝𝚘 𝚌𝚑𝚊 𝚗𝚗𝚎 𝚗𝚊 𝚜𝚒𝚝𝚊 𝚑𝚊𝚝𝚒𝚖𝚊 𝚢𝚎𝚝𝚞 𝚒𝚙𝚘 𝚔𝚠𝚎𝚗𝚢𝚎 𝚋𝚊𝚑𝚊𝚝𝚒 𝚝𝚞 K𝚠𝚊𝚗𝚒𝚗𝚒 𝚋𝚊𝚑𝚊𝚝𝚒 𝚔𝚠𝚊𝚜𝚊𝚋𝚊𝚋𝚞 𝚊𝚝𝚊 𝚔𝚊𝚣𝚒 𝚣𝚊 𝚣𝚎𝚐𝚎,𝚞𝚔𝚞𝚕𝚒...
  6. mozy mogy

    JamiiForums Tanzania Kwa hatua niliofikia hivi sasa naona bora nife kwa maana nimefeli hatua zote katika maisha

    [emoji3][emoji3][emoji3]unataka kufa sababu ya shida afu unakutana na virungu visivyo na mwisho
  7. mozy mogy

    JamiiForums Tanzania Kwa hatua niliofikia hivi sasa naona bora nife kwa maana nimefeli hatua zote katika maisha

    unapoana matatizo yako makubwa ujue hauna uwezo wakuyabeba matatizo ya watu wengin...kila mtu ni mbinafsi kila shida anayoipata anaiona ni kubwa kuliko shida ya yeyote...sema tumuombe mungu atupitishe kwa usalama kwenye kila nyakati ngumu
  8. mozy mogy

    JamiiForums Tanzania Kwa hatua niliofikia hivi sasa naona bora nife kwa maana nimefeli hatua zote katika maisha

    Kuna Watu Watakuletea Mzaa Ila Kwakweli Yote Kwa Yote Inauma Pole Ndugu Yangu Sometime Unajikuta Loser Kuna Watakao Sema Jichanganye,Wakati Hakuna Asie Penda Kujichanganya Utajichanga Ila Marafiki Zetu Na Watu Utawaomba Wakusaidie Walau Connection Ila Ni Wachawi Wanapenda Kukuona Kwa Hali Iyo Iyo
  9. mozy mogy

    JamiiForums Tanzania Mwenye connection ya kazi aina yoyote naomba msaada wako

    Habari Ndugu Jamaa Marafiki Wajamiii Forum Mi Nikijana Ninae Ishi Dodoma,Elimu Yangu Ni Yakawaida Ya Kidato Cha Sita Ninae Jishughurisha Na Kutafuta Tenda Za Ujenzi Kwa Wahitaji Wakutaka Kueka Milango Na Madirisha Ya Alliminium Na Vingine Vinavyo Husu Issue Izo,Nje Ya Hapo Pia Nina Fani Ya...
  10. mozy mogy

    JamiiForums Tanzania Habari Zenu Wanajamii

    [emoji120][emoji120]ni vema tukipeana tenda nasi mkono uende kinywani
  11. mozy mogy

    JamiiForums Tanzania Nani mwenye hali ya kiuchumi kama yangu muda huu? Toa mawazo jinsi ya kujikwamua

    Habari Mkuu Naweza Kukujua Vitu Kadhaa Kutoka Kwako How Unamove On Na Issue Ya Udalali?
  12. mozy mogy

    JamiiForums Tanzania Habari Zenu Wanajamii

    Mi Nikijana Nipatiakane Mkoani Dodoma,Nipo Hapa Kuwapa Habari Nzuri Kwa Wakazi Wadodoma Na Njee Ya Dodoma Kuwa Nimewaletea Huduma Nzuri Kwa Wale Wote Wenye Ujenzi Au Wenye Mpango Wa Kuboresha Nyumba Au Office Zao Ili Ziwe Zakisasa Zaidi Na Zenye Kuvutia. Kwa Kuweka Madirisha,Milango Ya...
  13. mozy mogy

    JamiiForums Tanzania INAUZWA AIDF inauzwa

    Habari Zenu Wanajamii Forum Ningependa Kuwapa Habari Nzuri Kwa Wale Wote Wenye Ujenzi Unaoendelea Mjini DODOMA Wa Nyumba Office Nk.. AIDF Inawapa Fursa Ya Kuwaunganisha Na Mafundi Wazuri Wakueka Milango Ya Alliminium(Alliminium Doors) Madirisha Ya Alliminium(Alliminium Windows) Na Vingine...
  14. mozy mogy

    JamiiForums Tanzania Habari zenu wanajamii

    Mi ni mgeni kwenye Dunia hii[emoji2211][emoji2211]
Back
Top Bottom