Center of sports watching

Center of sports watching

mozy mogy

Member
Joined
Jul 13, 2020
Posts
14
Reaction score
11
Habari Za Miangaiko Wakuu,Mi Kijana Kutoka Dodoma Niko Na Plan Ya Kufungua Banda La Kuoneshea Mpira Na Michezo Ingine

Eneo lipo lakueka ilo banda ambalo litaweza kuchukua watu 150+ nimekuwa nazunguka kutafuta mtu wakuniwezesha kukamirisha hi plan yangu bado sikufanikiwa

Na kwa maeneo nilipo kuna sehemu mbili ambazo nazo hazitoshelezi kutoa huduma kutokana na kuzungukwa na wanamichezo wengi

Eneo la kufanyia biashara liko bahiroad,kama kuna taasisi au mtu binafsi anaweza kukopesha fedha niweze kukamirisha hu mpango wangu naomba msaada wako/wenu wakuweza nifanya nikamirishe hi

Mahitaji yangu ilikuwa ni tv 3 speaker moja na vingamuzi viwili azam tv na dstv pamoja na msaada wakusimamishia banda baadhi ya vifaa vya kutengenezea banda ninanvyo

Kwa atakae penda kunisaidia kwenye ili nami niwe na sehemu ya kuningizia kipato tutafanya makubaliano yatakayo tupendelea yote alafu baada ya muda niweze kurejesha amana yako ili uweze kuwasaidia wengine

Per day kwa biashara ya kuonesha mpira kiwango cha chini ambacho ndio umekosa sana ni shiling 50000 na kwa wiki kupata laki 250 ni kawaida

Naomba mtu wakuniwezesha kwenye hi project

Email husseinomary417@gmail.com
phone number 0673795658
watsap 0787283486

ahsanteni
 
Hii mambo ya banda naielewa Sana naja kuifanya soon,. mi pia nilikosaga mtaj wakufanya mambo yangu, niliomba msaada Kwa ndug na jamaa most of them hawakuniamin na walionisaidia Kwa kwel hakikunifikisha popote, katika hali ya kukata tamaa nikaamua kulima mpunga aisee , mwaka huo mvua ikakubali , nilipambana Mzee Kwa kuunga unga hvo ukipewa sent unalipa wafanyakaz mpak mradi ukaisha ...

Nilipata gunia 75 , nikaja kuziuza nikapata around 4 Million ndo mwanga wa Maisha ukaonekana....

Ukipata wa kukusaidia shukru Mungu but in reality ili kufikia ndoto zako unatakiwa ufanye jitihada za dhati
 
Kweli nami najitahidi kujivuta sana,sema ata connection ya kupata shughuli mtiani sana tunaishi kwenye ramani ya u kibarua wa siku moja kesho uielewi.
 
Hii mambo ya banda naielewa Sana naja kuifanya soon,. mi pia nilikosaga mtaj wakufanya mambo yangu, niliomba msaada Kwa ndug na jamaa most of them hawakuniamin na walionisaidia Kwa kwel hakikunifikisha popote, katika hali ya kukata tamaa nikaamua kulima mpunga aisee , mwaka huo mvua ikakubali , nilipambana Mzee Kwa kuunga unga hvo ukipewa sent unalipa wafanyakaz mpak mradi ukaisha ...

Nilipata gunia 75 , nikaja kuziuza nikapata around 4 Million ndo mwanga wa Maisha ukaonekana....

Ukipata wa kukusaidia shukru Mungu but in reality ili kufikia ndoto zako unatakiwa ufanye jitihada za dhati

Mkuu ulilima hekari ngap.??
Na ulilimia wapi huko.?
 
Mkuu wazo zuri sana ila kiuhalisia katika ulimwengu wa tatu huu MTU kukupa mtaji sahau nasisitiza sahau.

Unachotakiwa komaa tena komaa haswa tafuta mtaji hata kama ni kwa muda mrefu ili uje ufanikishe wazo lako.

Sahau kuhusu financial support in Tanzania.
 
Back
Top Bottom