Mwenye connection ya kazi aina yoyote naomba msaada wako

Mwenye connection ya kazi aina yoyote naomba msaada wako

mozy mogy

Member
Joined
Jul 13, 2020
Posts
14
Reaction score
11
Habari Ndugu Jamaa Marafiki Wajamiii Forum Mi Nikijana Ninae Ishi Dodoma,Elimu Yangu Ni Yakawaida Ya Kidato Cha Sita Ninae Jishughurisha Na Kutafuta Tenda Za Ujenzi Kwa Wahitaji Wakutaka Kueka Milango Na Madirisha Ya Alliminium Na Vingine Vinavyo Husu Issue Izo,Nje Ya Hapo Pia Nina Fani Ya Udereva.

Ombi Langu Kwenu Kwa Mwenye Connection ya Kazi Yoyote Ambayo Haitaji Udegree Ndani Na Njee Ya Dodoma Tafadhari Ningeomba Uniunganishe Nayo Ili Tueze Kuinuana Kichumi Nami Nikiendelea Kufanya Jitihada Zingine,Kwasababu Mwendo Mzuri Ni Kutembea Na Wenzako.

Ndoto Yangu Ni Kubwa Kuliko Wakati Niliopo,Ndio Maana Naomba Kwa Atakae Kuwa Na Issue Ya Kazi Ambayo Haivunji Sheria Za Nchi Aniunganishe Nayo Ili Niendeleze Safari Ya Kupigania Ndoto Yangu.

Pia Bila Kusahau Ata Kuniunganisha Na Mtu Mwenye Kuhitaji Fundi Alliminium Kama Nilivyosema Hapo Nyuma Nako Nikunisaidia Tafadhari Kama Utajari Naomba Uwasaliane Nami Kwa Namba 0787283486.

Asanteni[emoji120][emoji120][emoji120]Muwe Na Kazi Njema
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom