Recent content by moz

  1. moz

    Natafuta Suppliers wa mbuzi Morogoro

    Kilosa town,namaanisha uhindini.
  2. moz

    Natafuta Suppliers wa mbuzi Morogoro

    Inategemeana na ukubwa wa mbuzi maana kwa Kilosa mbuzi wa ukubwa wa wastan huko minadani hununuliwa kwa Tsh.50,000 -65,000/= Pia nafanya hivyo kwa kuepuka usumbufu wa kukaa kukimbizana minadan kila iitwapo leo so nimewaza kama kutakuwa na mtu maalumu wa kuweza kusupply mimi itanipa muda sasa wa...
  3. moz

    Natafuta Suppliers wa mbuzi Morogoro

    Nawezaje pata mtu wa kunipa mbuzi watatu kila siku au baada ya siku mbili kwa ajili ya kuimarisha biashara yangu ya nyama choma ya mbuzi, niko mkoani Morogoro wilaya ya Kilosa. Biashara yangu imesajiliwa.
  4. moz

    TANESCO Special thread: Tupe maoni, maswali, malalamiko na hata ushauri

    TANESCO kilosa last week mlitusumbua sana mnakata umeme hata taarifa hamtoi,mlitutia hasara wafanya biashara haswa wa chakula especially mimi nilipata hasara ya nyama kuharibika Sent using Jamii Forums mobile app
  5. moz

    Fursa ya kazi ya kuchoma nyama na kupika supu Morogoro

    Nahitaji kijana msafi, mchapa kazi na anayenielewa, wa kuchoma nyama ya mbuzi safi na kupika supu ya utumbo wa mbuzi safii. Napatikana Kilosa Morogoro Mawasiliano: 0754472748
  6. moz

    Ni kwanini wanawake wa siku hizi wanapenda kumtawala mwanaume ?

    Msingi mkubwa wa hili ni kutoweka kwa mila na desturi zetu kama watanzania, Mfano hapo awali mila na desturi zilitiliwa mkazo na jamii husika mfano Jando,unyago na mila nyinginezo nyingi ambazo awali zilitumika haswaa kuwaandaa vijana wa rika fulan kwa ajili ya maisha yao na zilizingatiwa na...
  7. moz

    Six ways men can escape poverty

    FACT 👏
  8. moz

    Rais Magufuli ampa RC Makonda ruhusa ya kwenda Misri leo kuhakikisha Taifa Stars inashinda mechi zilizobaki

    Sisi sote ni watanzania wenye niya moja na lengno moja la kuitakia timu yetu ushindi na mawazo ya Rais wetu huenda yakawa na heri ,so tunamtakia Mh Makonda busara njema na hamasa atakayokuwa ametoka nayo kwa Rais wetu GOD BLESS TAIFA STRAS.
  9. moz

    Maumbile yake ni makubwa

    Usikilize moyo wako mkuu ,pia nadhani unahitaji shule maana kila mwanamke anaridhika ktk tendo landoa hata kama ana maumbile makubwa na ww ukawa nayo madogo ishu ni ujuuzi na utaalamu maana mwanamke kumridhisha mwanaume hua ni kitu kidogo sana ila shida ni sisi kuwaridhuisha wao Ushauri wangu...
  10. moz

    Majibu ya Bodi ya Mikopo Kuhusu Barua ya Wazi kwa Magufuli: Sheria ya Bodi ya Mikopo ya 2016

    Mbona wao wamesamehewa madeni yap na na sisi watusamehe hayo ya kwetu
  11. moz

    Sitaki nataka hunifanya nilale na hamu usiku kucha!

    Mh haya bwana.ni dhahiri haya nambo yapo but yanawahusu wao 2
Back
Top Bottom