Sitaki nataka hunifanya nilale na hamu usiku kucha!

"Lile basha langu la ajabu kweli. Yaani isitokee ujifanye 'sitaki nataka', mwenzangu hata hajishughulishi walau kukupandisha mzuka, utaona huyooooooooo ananiacha anajilalia hadi asubuhi. Yaani hajui kabisa kunipandisha nyege. Yaani muda mwingi tunaishia kusex utadhani kuku, dakika mbili kamaliza basi mwenzangu najilalia na minyege nyege yangu hadi asubuhi, sijui hata nifanyeje. Kila anapohitaji basi mie 'nampanulia' tu 'amalize' mambo yake tulale, maana ni kero tu ku

JAMANI MAMBO!
 
nilitaka tu ku-confirm... of course nashindwa kuelewa kwa nini binti analalamika kama yeye mwenyewe ndiye anayemdengulia jamaa in the first place

unashangaa nini mkuu? kwani we hujawahi kumkokota 'punda' hadi mtoni kisha akagoma kunywa maji. Wengine wanajisikia raha sana kubembelezwa, yaani anatamani tu kuona jibaba zima unavyobembeleza as if you can not live without it..........wenyewe wanaona raaaaaaaaaaaaaahaaaaaaaaa! sometime wanaboa kweli hawa viumbe, basi tu!
 
du hii kali kweli kweli,
sasa kwann ufanye nataka sitaki wakati unataka?
hii haijakaa sawa hata kidogo,
Pia unachanganya maada
kwani maandalizi na sitaki nataka
ni vi2 viwili tofauti
kama ni maandalizi
kuna vi2 viwili waweza fanya
___Anza kujiandaa mwenyewe
___mwambie akuandae ikiwezekana kwa kumsaidia

"Lile basha langu la ajabu kweli. Yaani isitokee ujifanye 'sitaki nataka', mwenzangu hata hajishughulishi walau kukupandisha mzuka, utaona huyooooooooo ananiacha anajilalia hadi asubuhi. Yaani hajui kabisa kunipandisha nyege. Yaani muda mwingi tunaishia kusex utadhani kuku, dakika mbili kamaliza basi mwenzangu najilalia na minyege nyege yangu hadi asubuhi, sijui hata nifanyeje. Kila anapohitaji basi mie 'nampanulia' tu 'amalize' mambo yake tulale, maana ni kero tu kufanya bila maandalizi".

Hii simulizi wadada wawili walikuwa wanaongea ambapo mmoja alikuwa akimwambia mwenziwe jinsi mwanaume wake asivyojua/alivyo mzembe wa mahaba.

Bahati mbaya sisemi nimeisikia wapi maana wengine hawakawii kuporomosha mitusi
 
Hivi nani anatakiwa kumuandaa mwenzake............?
Mimi hili jambo huwa linanipa kizunguzungu................Sasa huo usawa tunaouzungumzia ndio upi?
 
wewe mie kidume aisee, usitake nipate ban nimeshakueleza many times!
Kama wewe ni Kidume, kwa style ya Post plus uandishi wako,huu mwaka haupiti lazima utakuwa umeshaliwa/megwa tayari..
 
"Lile basha langu la ajabu kweli. Yaani isitokee ujifanye 'sitaki nataka', mwenzangu hata hajishughulishi walau kukupandisha mzuka, utaona huyooooooooo ananiacha anajilalia hadi asubuhi. Yaani hajui kabisa kunipandisha nyege. Yaani muda mwingi tunaishia kusex utadhani kuku, dakika mbili kamaliza basi mwenzangu najilalia na minyege nyege yangu hadi asubuhi, sijui hata nifanyeje. Kila anapohitaji basi mie 'nampanulia' tu 'amalize' mambo yake tulale, maana ni kero tu kufanya bila maandalizi".

Hii simulizi wadada wawili walikuwa wanaongea ambapo mmoja alikuwa akimwambia mwenziwe jinsi mwanaume wake asivyojua/alivyo mzembe wa mahaba.

Bahati mbaya sisemi nimeisikia wapi maana wengine hawakawii kuporomosha mitusi

Mh haya bwana.ni dhahiri haya nambo yapo but yanawahusu wao 2
 
Ndyoko bhana, huachi kunifurahisha.
ndyoko amekufurahisha hadi unaji scratch down stairs
avatar50584_9.gif
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom