Huyu jamaa sioni alichokosea kitendo cha kumtukana ni sawa na uwezo mdogo wa kufikiri, maana huyu anausemea ukweli, kuna wengine hawasemi ila tabia hii wanayo na ipo sana kwa wanaume ila kwa vile mwenzetu kasema anaomba ushauri ni heri kumshauri maana ni afadhali nyoka mtoa sumu kuliko anayeuma...
Inatakiwa ukapimwe uwezo wako wa kufikiri, nyie ndo mnangoja kula kwa kutumia maneno yasiyo tija kwa kusifia bila kuwa hata na mshipa wa aibu ujuha umewajaa kwa ukosefu wa hekima na maarifa, Baahe kaeleza kwa umakini tena kwa uwekevu na utondoti na umahiri wa hali ya juu, akasema masuala ya...
Unaona sasa kumbe unachukua mifano kwa ajili ya kubishana mi sina upepo huo ila ukweli jamaa kasema kanisa katoliki linatoa huduma dunia nzima huku zingine zikijikita katika ukanda fulani au nchi fulani. Yeye hakuleta ulinganisho na wala lupingq ila kaaema linaongoza au liko mbele kwa hilo.
Unajua kuna watu uwezo wa kufikiri ni mpakq uboostiwe na wengine wenzio wanazungumzia misaadawe unaanzisha mada za kusali jumamosi, ijumaa au jumapili au namaanisha unaleta mjadala usio tija ili mbishane na kupindisha uzi, mleta uzi kasemea suala la matendo ya huruma na alibainisha wazi kuhusu...
Hivi watu kutukana kutaisha lini kama mtu kuchangia tu huwezi bora ukae kimya sio kuruhusu hisia zikutawale maana kaomba ufafanuzi na ili kuepusha kutype mambo mengi nikaweka njia ya mkato, je kosa linatoka wapi mpaka mtu unaamua kutukana.
Ile research itawahusu wengi sana natamani wangongeza kila wa TZ wanne watatu ni vichaa. Maana haiwezekani mtu analeta uzi usio na kichwa wala miguu hana utafiti wa kutosha na anachokiongea ila hisia tu zinamtuma kufanya hivo anajitutumua kuandika vitu vyenye upungufu wa ujumi na itifaki.
Huwezi jisifu kwa kusoma chuo fulani eti kizuri kuliko vyuo vyote TZ kikubwa tunaangalia unafanya nini katika jamii na unapata skills za maisha sio nimesoma UDSM cha kwanza ni kuboresha maisha bila kujali umesomea chuo kipi maana kusema hivi ni sawa na mtu kujisifu baba yangu ni professor wakati...
Inategemea pia na mfumo wa maisha wa kaka na dada zake kama kaka ni walu walu au hauko vizuri na hao dada tegemea sana hili, pia negative atitude inayopelekea predijuce pale hata kabla hujampata mchumba anakuwa amechukiwa hata yeye kabla hata hajaolewa anakuwa ana notion ya kuwa mawifi wa naroho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.