Recent content by moyAfricatzz

  1. moyAfricatzz

    Lowassa kesho ndani ya Azam Two

    SAA ngapi?? Wasikate umeme sasa...
  2. moyAfricatzz

    Mahakama ya mafisadi au Division ya Mafisadi.

    Habari za jion wana jamvi, Nakumbuka vizuri Mhe,Rais alitoa ahadi ya uanzishwaji wa mahakama ya mafisadi ili kufanikisha uharakishwaji wa kusikilizwa kesi za mafisadi na mhe,Hussein Bashe mbunge wa Nzega aliwahi kumwambia kwamba atakuja kumkumbusha mhe Rais kuhusu uanzishwaji wa mahakama...
  3. moyAfricatzz

    Future is a Mystery....

    Huwezi jua kesho utakua nani,baki kuwa mwanachama muadilifu wa chama unachokiamini...Mhe Rais Magufuli akiwa anatoka kwenye kikao na ka-beg simple kenye nembo ya chama..Good memory.
  4. moyAfricatzz

    Hizi ndio sababu ya viongozi wa CCM kukimbia Dar es salaam kwenda Dodoma

    Sasa ikulu ikihamia Dodoma, mhe Makonda atabakia na shamba LA Tausi pale magogoni....
  5. moyAfricatzz

    Mwongozo tafadhali

    Asanteee,haya twende kwenye PM
  6. moyAfricatzz

    Ni kitu gani unachokipenda hasa kuhusiana na JamiiForums tofauti na mitandao mingine?

    Napenda jinsi watu wanavyotumia username za kipekee,mtu kama " mkwepa kodi""salary slip",etc..
  7. moyAfricatzz

    Mwongozo tafadhali

    Mgeni kapata mwenyeji....wanaelekea kwa 'PM..
  8. moyAfricatzz

    Kesi ya Mwangosi..

    Habari za usiku huu wakuu,nimefTilia kesi ya daudi mwangosi(marehemu)...mara zote kesi ilipokua inatajwa.mtuhumiwa alikua anafungwa kitambaa ili asionekane..je ni kwa nini au kuna sababu ya msingi ya kumfunga kitambaa asionekane?? Msaada tafadhali.
  9. moyAfricatzz

    Msaada namna ya kuomba mkopo (HESLB) kwa mwanafunzi anayeendelea na masomo

    Utaratibu umebadilika sasa .inategemea. Kama unaomba kwa. Mara ya kwanza au ulishawah kuomba . Kama applicant ni fresh,hakuna form inayojazwa na dean.
  10. moyAfricatzz

    Natafuta temporary job..

    Mimi in mwanachuo wa Chuo Fulani pale Arusha,nasomea degree ya sheria na naingia mwaka wa pili mnamo mwezi wa kumi..natafuta kazi ya muda ya kufanya(part time) ili niweze kujiendesha...Nna uzoefu wa miaka miwili wa kufanya kazi..nina weza kufanya kazi yeyote halali.. Msaada tafadhali.
  11. moyAfricatzz

    Alikiba Punguza Uongo

    Kama wewe mwanaume kweli..mu-unfollow kiba sasa hiv povu lisikutoke sana.
  12. moyAfricatzz

    Alikiba Punguza Uongo

    Ya instagram yabaki huko huko...huku ni kwa great thinkers...
Back
Top Bottom